ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 510
- 213
Poleni sana mliokutwa hapo!Hao ndio wenye nchi
mkuu niliwaambia abiria wenzangu kuwa hivi kwa nini wasingesafirisha usiku kukiwa tulivu??.
Leo kuna foleni kali hasa kwa magari yatokayo ubungo kwenda buguruni.
Tulivyo vuka daraja la matumbi tukasikia kin'gora kumbe ni Magari ya wana jeshi yamebeba zana za kivita wanatumia barara itokayo buguruni kwenda ubungo wao wamefanya kinyume .
Sasa kuna gari zikawa zinakuja MP wakateremka ili magari yakae kando heee kumbe dereva wa gari ndogo alikua amepaki gari pembeni si mjeshi mmoja akaanza kumtandika hadi basi. Tukio nimeliona vizuri sema picha nilishindwa kuchukua.
Ndio mkiambiwa jipangeni vizuri kwa kuweka mfumo mzuri wa serikali kiepuka hayo, mnasema ohoo...... Mnatishwa...... Haya sasaWanajeshi siku zote huwa wana kiburi na kitu kidogo tu huwa wanapiga hawana cha onyo.
heshma ni kitu cha bure.tusitumie cheo kama kunyanyasa watu...kwenye uonezi kujitetea muhimi.nadhani huyo ni fundisho asifikiri kila mtu na askari wa kuomuonea,kuna wengine si askari lakini ni balaani uonevu huu, hawa wanatakiwa wakutana na trafic waliopinda kama yule wa mwaka 2011....
ndyo mkulu anadai mkipendekeza serikali 3 atawakabidhi labda ndyo wanaanza kutoa onyoHalafu huwa hawachukuliwi hatua zozote za kinidhamu jeshini kwao. Sijui na wakuu wao wanaunga mkono huu upuuzi wa hawa kuruta? Nawachukia sana hawa watu
mkuu niliwaambia abiria wenzangu kuwa hivi kwa nini wasingesafirisha usiku kukiwa tulivu??.
Wakistaafu wanatuomba 200 mtaani