Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 6,376
- 6,720
Hiyo ni typo, halafu sema "nitajifunza",baada ya hapo,uweke full stop,halafu ndo uendelee kusema "Wewe mwenyewe kiswahili...".Lafudhi yako sijui ya wapi?kihindi?
Huwa nilikuwa nikidhani ni just typos,lakini nimegunduwa kiswahili huwa kinakupa shida kukitype humu.
Kwamfano kama unazungumzia sentesi ya kukanusha ie "Hukufanya...",wewe huwa unasema "ukufanya..."
Ni mfano tu,hata mimi sijui kiswahili sana,lakini sina matatizo kama yako.
Hapo juu umesema "Wewe mwenyewe kiswahili kizuri",halafu more ramblings,mkuu humu tunajifunza pia,kubali kujifunza.Kama hujui kiswahili,kachukuwe kozi ama tembelea jukwaa la lugha.
Chadema wamekuwa watu wa kurukia matukio na kuyatolea matamko sasa huyu msemaji wa Chadema amekuwa msemaji wa Wanajeshi, kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Wanajeshi walichosema wanataka mabadiliko ya kiutawala Chadema wachukue nchi.
Brother acha kujidhalilisha....!Wacha kujidhalilisha sio kila kitu kichosemwa na Pro-Chadema wenzako unakiunga mkono mungu amekupa akili zifanyie kazi wapi wanajeshi wamepaza sauti wakidai mabadiliko.
Wanajeshi wametoa maoni yao kutaka mabadiliko ya kimfumo na kiutawala. Lakini Ritz kwa akili yake ya kuku akishasikia neno mabadiliko anajua ni Chadema kuibadili ccm katika utawala wa nchi. Na kwakuwa mkate wake anaupatia ofisi za lumumba kwahiyo anakurupuka tu kuandika bila kutafakari kutokana na kihoro cha watoto kwenda msalani!
Brother acha kujidhalilisha....!
Mbona kama mmepanic hivi?Kwahiyo hao wanajeshi walioko kambini hawaruhusiwi kutoa maoni yao juu ya katiba mpya?Watu wengine bana,kila kitu siasa.Ni hatari sana kushabikia uasi wa wanajeshi kwa tamaa za kisiasa. Wanajeshi wakidai mabadiliko wanatumia risasi. Ni mtanzania gani anataka kuchochea wanajeshi watumie hivyo vyombo vya moto eti kutaka mabadiliko?
Wanajeshi hawana tamaa kama mbayuwayu wa chadema kila kukicha kupaza sauti na kuchonganisha watanzania eti wafanye vurugu ili slaa awe rais. Hizo ni kerere za chura kama mliyoambiwa jana. Vurugu zikitokea mkeo au mumeo anaweza kuwa wakwanza kufa. Tuliona kule rwanda na burundi na hatutakiii. Endeleeni kuchochea lakini tunajua mbinu zenu zoote zimekwama.
Acheni mawazo ya ki renamo na conservative union.
Jamani eeeh!!!! Kujibizana na Ritz ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekunyang'anya taulo
Na huo ndiyo utakuwa mwisho wa ufisadi kwani baada ya hapo kila mmoja atagwaya kuufanya maana atajua hatapata muda wa kuuHatari kweli kweli hii! Itabidi kuwa na siku za "mapumziko" kitaifa kwa ajili ya kuzika.
Now, more than 80% ya wanachama wa CCM (5,000,000?) ni mafisadi. Suppose, 30% tu ya hao 80% watatiwa hatiani na hizo adhabu kutekelezwa ndani ya wiki moja baada ya hukumu. Bwa ha ha ha ha ha!
Hii maana yake, ndani ya wiki moja tutapiga risasi na kuzika mafisadi 30% x 80% x 5,000,000 = 1,200,000. Nashauri wazikwe kwenye makaburi ya jumla au wachomwe moto watatumalizia tu ardhi na muda hawa.
Nadhani humjui Tumaini Makene, ni nani Chadema, kwa kukusaidia ni msemaji wa Chadema kachukuwa nafasi ya Regia Mtema (R.I.P) ndio maana nimejibu hivyo wewe bila kujua umerukia kumjibia.
Mkuu Mwita Maranya. Si nilishaema hapo nyuma hawa kina majebere, Ritz, zomba, Anael e.t.c hawajadili hoja na mantiki yake!!!! Wao ni kuongeza tu michango hapa jukwaani (Ili wapate cheque yao toka lumumba)!!! Any way kama nyie bado mnaamini kuna la kujadili na hao basi kazi mnayo. Mi napitaga tu kwenye pumba zao, inanisaidia kujua idadi yao tu. Otherwise utapoteza sana muda wako!!!
Ni vyema wapenda mijadala ya huku jamvini tukawajua vyema na malengo yao hasa lile lengo lao kuu la kuharibu mijadala na kupotosha kwa makusudi.
Mbona kama mmepanic hivi?Kwahiyo hao wanajeshi walioko kambini hawaruhusiwi kutoa maoni yao juu ya katiba mpya?Watu wengine bana,kila kitu siasa.
Kwani unadhani issue ya ufisadi ni ya chadema?we kweli umelala,amka.Usishabikie haya mambo kama mpira wa miguu.
Chadema wamekuwa watu wa kurukia matukio na kuyatolea matamko sasa huyu msemaji wa Chadema amekuwa msemaji wa Wanajeshi, kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa Wanajeshi walichosema wanataka mabadiliko ya kiutawala Chadema wachukue nchi.
Kwani mkuu Tumaini hujagundua kwamba kadri uavyozidi kuwajibu ndo wanavyozidi kuongeza "credit"(kwenye mishahara yao)? The more a GT responds to their **** the more credit they get. Ukisipowajibu basi lumumba wanapunguza mshahara, hivyo basi wao wanajitahidi kuwa "as arrogant as possible (trying to be as provocative as possible" ili mshahara upande juu?? (michango mingi kwenye rubbish means more pay). They dont(and the will never show although they know) see the content/context and reality.
Tafuta kamusi ya kiswahili angalia maana ya neno mabadiliko.