WANAJESHI wameanza kufyatuka kupaza sauti kudai mabadiliko

Nimeisoma maoni yao yalikuwa dhidi ya mafisadi wanataka wanyongwe sio kuwa wanadai mabadiliko.

sasa katiba ikibadilishwa ina maana na mabadiliko yatatokea automatically, sidhani kama watabaki hata mmoja katika viongozi walioko madarakani, hata wakiwepo no. ni ndogo sana. kwa hiyo mawazo yako ni sahihi
 
Wanajeshi hawautaki kabisa ufisadi maana unawafanya waishi maisha magumu bila sababu za msingi.
Wacha kujidhalilisha sio kila kitu kichosemwa na Pro-Chadema wenzako unakiunga mkono mungu amekupa akili zifanyie kazi wapi wanajeshi wamepaza sauti wakidai mabadiliko.
 
Sioni kama ni kosa kufanya editing.Wenye akili timamu wataunga mkono na wenye akili za kushikiliziwa kama wewe utaona ni issue ya kuandikia uzi.Je, unajua kwanini vyombo vya habari vinaajiri EDITORS?
 
Tuwaungeni mkono, kauli zao zinahitaji marekebisho kidogo tu, lakini hoja zao na kile wanachokimaanisha ni muhimu sana kwa hapa tulipofikia kuirudisha nchi kwenye mstari wa maendeleo
 
Back
Top Bottom