Wanajeshi kortini kwa ufisadi wa mabilioni

Mkurugenzi wa SUMA JKT si alikuwa Kanali Ayubu Mwakang'ata? Tuliwahi kuwa naye kwenye Warsha moja pale AAI. Mzee wa busara. Sasa huyo mwingine naye nyani?
 
Msisahau huyu bwana na wenzake ni watuhumiwa tu, tusubiri uamuzi wa mahakama. Ninachotaka kusema ni hiki, yaonekana, vijana wa TISS wanajaribu kufanya damage control maana mafaili ambayo yamekamilika yapo kadhaa tu, ila sensitivity ndiyo inayozuia wakati mwingine kuyalipua, hasa haya yaliyoko TAKUKURU yanasimamiwa kikamilifu na vijana hawa.

Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani kesi hizi zinapelekwa kwa nia thabiti bila additional vested interest. Mfano Kunapokuwa na tention katika nchi, unakwenda kwenye kabinet na kuchagua fali ambalo unauhakika ukilirusha public kupitia njia sahihi ambayo ni mhakama, Media ambayo ndio dirisha la wengi sisi wanyonge ambao hatupo jikoni ina badili atention yake na kuanza kucover hiyo issue.

Migomo ya nchi nzima hufanikiwa sana kwa kutumia vyombo vya habari. Kama vyombo vya habari vitaendelea kuzungumzia hali ilivyo ya mgomo kila mahali, ni rahisi kusaidia hata kuwashawishi na wengine ambao hawana taarifa kamili kujiunga na mgomo huo kupitia propaganda za ushawishi wa hali ya mambo ili wajiunge. So the best way is "take contral of the media". Nawapongeza kitengo ingawa mmekuja a litle bit late. Sifurahishi na hali mbaya ya Mahospitali yetu, na sipingi malalamiko ya Madaktari.
 
hii ndio difference kubwa ya afande ndomba na makamanda wengine.., kaingia tu jkt ameanza kusafisha, mind you, he is one of the few remaining best military spies we hav, ile cream ya mwanzo.

huyu mkuu nna uhakika ndio next CDF labda ifanywe fitna,,
 
Mkuu aahsante mzee wa busara, trying to shift the attention of the public, lakini wangeshugulika na big fish hasa mnadhimu mkuu na 3 Trilion SA!!!!!

Mambo ya Kikwete hayo, wamuone anacheka-cheka tu, yule ni komando wa ukweli.

zomba, Takopa ilikuwa ni ya nani? JK alipo sasa hivi lazima kuna mtu atafungwa. Si unajua simba aliyejeruhiwa anakuwaje
 
Last edited by a moderator:
hii ndio difference kubwa ya afande ndomba na makamanda wengine.., kaingia tu jkt ameanza kusafisha, mind you, he is one of the few remaining best military spies we hav, ile cream ya mwanzo.

huyu mkuu nna uhakika ndio next CDF labda ifanywe fitna,,

Haaahaaa! Fitna asiyekujipiga mwenyewe lakini! I wish him all the best kama kweli atafanya mambo yaende kufuata utaratibu
 
Mkuu anaitwa nani huyo

Gazeti la Mwananchi ukurasa wa tatu linaripoti wanatuhumiwa wako sita, nao ni Lt Col Ayoub Emu Mwakang'ata (CEO SUMA/JKT), Lt Col Mkochi Chacha Kisongo, Lt Col Paul Andrew Mayavi, Major Peter Mabula Lushika, Sajenti John Andrew Laizer na Major Yohana Leonard Nyuchi. Gazeti hilo limebandika picha zao front page wakienda mahakamani.
 
Mkuu mbona huyo Mukulu cha mtoto. Huu "mradi" unaoitwa Kilimo Kwanza huko tuendako utavunja rekodi kwa ufisadi kuliko mradi mwingine wowote uliowahi kuwepo nchi hii; yetu macho Mungu atuache hai muda si mrefu litabumburuka - EPA, Meremeta, Richmond, IPTL yote hii itakuwa vidagaa.

Magamba wanataka kuutumia kama "lango" la kutokea kupitia wakulima masikini lakini soon utabadilika kaburi lao.

Kweli kauzu zaidi ya dagaa Mchungaji katafuna bilioni 3.8 unasema cha mtoto.
 
Msisahau huyu bwana na wenzake ni watuhumiwa tu, tusubiri uamuzi wa mahakama. Ninachotaka kusema ni hiki, yaonekana, vijana wa TISS wanajaribu kufanya damage control maana mafaili ambayo yamekamilika yapo kadhaa tu, ila sensitivity ndiyo inayozuia wakati mwingine kuyalipua, hasa haya yaliyoko TAKUKURU yanasimamiwa kikamilifu na vijana hawa.

Sina uhakika sana ni kwa kiasi gani kesi hizi zinapelekwa kwa nia thabiti bila additional vested interest. Mfano Kunapokuwa na tention katika nchi, unakwenda kwenye kabinet na kuchagua fali ambalo unauhakika ukilirusha public kupitia njia sahihi ambayo ni mhakama, Media ambayo ndio dirisha la wengi sisi wanyonge ambao hatupo jikoni ina badili atention yake na kuanza kucover hiyo issue.

Migomo ya nchi nzima hufanikiwa sana kwa kutumia vyombo vya habari. Kama vyombo vya habari vitaendelea kuzungumzia hali ilivyo ya mgomo kila mahali, ni rahisi kusaidia hata kuwashawishi na wengine ambao hawana taarifa kamili kujiunga na mgomo huo kupitia propaganda za ushawishi wa hali ya mambo ili wajiunge. So the best way is "take contral of the media". Nawapongeza kitengo ingawa mmekuja a litle bit late. Sifurahishi na hali mbaya ya Mahospitali yetu, na sipingi malalamiko ya Madaktari.

Ni kweli kabisa usemayo hata mimi nilikuwa nina wazo kama hilo.
Timing ya hilo swala na aina ya watuhumiwa wenyewe ni maswala ambayo yamenifanya nitilie shaka.

Nakubaliana na wewe lengo hasa ni kupunguza makali ya mjadala wa kuzorota kwa huduma ya afya na swala la ''utuhumiwa wa serikali'' kumfanyia unyama Ulimboka.

''Sham'' au ''dummy'' prosecution kama hizi huibuka mara nyingi pale wanapokuwa wamebanwa.

Ni kweli wanaweza kuwa wamefanya ufisadi kama ilivyo kawaida ya serikali yetu lakini kwa sasa ninaamini ndani ya serikali kwa sasa hakuna mtu safi wa kuweza kumshitaki mwingine ndio maana naamini hiyo ni kujaribu kugeuza mwelekeo wa vyombo vya habari ili kugeuza mijadala kwa manufaa fulani na wala si kwa malengo ya kweli ya kupambana na wahalifu.
 
Gazeti la Mwananchi ukurasa wa tatu linaripoti wanatuhumiwa wako sita, nao ni Lt Col Ayoub Emu Mwakang'ata (CEO SUMA/JKT), Lt Col Mkochi Chacha Kisongo, Lt Col Paul Andrew Mayavi, Major Peter Mabula Lushika, Sajenti John Andrew Laizer na Major Yohana Leonard Nyuchi. Gazeti hilo limebandika picha zao front page wakienda mahakamani.
Asante Mama Mdogo.
 
kulikoni hapa JKT wanasema kuwa Vijana watapata Uzalendo sasa hao makamanda wamekuwa wezi wamekosa uzalendo sawa kabisa na chupa ya dawa ya kuulia mbu apatikane mbu.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom