Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

Wanajeshi IDF wafichua Oktoba 7 ilikuwa mpango wa ndani

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
12,959
Reaction score
15,886
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele

IMG_20250801_151703_385.jpg
 
Unafikiri mbele ya mipango ya wamasiasa raia huwa na thamani?
Unamaanisha Hamas na Israel wapo pamoja kiasi cha Israel kipanga mpango wa kujivamia, kuua kuteka alafu ikawachukua mateka wake ikawapelekea Hamas wawafiche kisha yenyewe ikaanza kuwashambulia tena marafiki zao Hamas na kuua viongozi wao? Hivi mnafikiria kwa kutumia nini eti?🤣🤣🤣
 
Umeangalia video?!..
 
Wanajeshi wa IDF wafichua kwamba shambulio la Hamas la oktoba 7 lilikua na mkono wa israel, katika kile kinachodaiwa kuwa ni sababu/fursa tosha ya kuwaondoa wapalestina milele
Sasa kama ni hivyo mbona ni aibu kwa Hamas kuwasaliti wenzao wanapata shida mpaka sasa. Wale viongozi wa Hamas waliokuwa wanauliwa nao walikua kwenye huo mpango wa IDF?
 
Unamaanisha Hamas na Israel wapo pamoja kiasi cha Israel kipanga mpango wa kujivamia, kuua kuteka alafu ikawachukua mateka wake ikawapelekea Hamas wawafiche kisha yenyewe ikaanza kuwashambulia tena marafiki zao Hamas na kuua viongozi wao? Hivi mnafikiria kwa kutumia nini eti?🤣🤣🤣
Huenda Israel ina mamluki ndani ya Hamas na ndo waliohamsisha hilo tukio
 
Labda kama wangeua watu 100 ila watu 1200 NI wengi Sana kwa TAIFA kufanya hivo

Propaganda Tu ila video sijaangalia sina time mambo NI MENGI mda mchache
Ungeangalia video Ili ushangae, inasemekana hata waandaji wa lile tamasha waliambiwa walisogeze karibu na 'mpaka' wa Gaza..na hao waliokufa wengi waliuawa na IDF kupitia 'hannibal...'
 
IDF haitaki kukubali intelligence yao ilifeli mbele ya kikundi cha wana migambo... hapo anajifanya wanafahamu nini kingetokea siku hio... kiuhalisia intel ya Mossad ilifeli..
 
Myahudi anajua kinachoendelea ndani ya Innere Circle ya Khamenei ashindwe kujua kinachoebdelea ndani ya Gaza?.
Huenda kainfiltrate HAMAS na anapenyeza ajenda zake za extremism ili baadaye apate wxcuse ya kufanya operation za kijeshi.

Jiulize wgy kwa miaka mingi Netanyahu anafacilitate HAMAS ipate hela kutoka Qatar?

Na jiulize kwa nini Israel yenye uwezo mkubwa tu wa kuipiga na kuishibda na kuimaliza HAMAS haifanyi hivyo?

Lengo ni excuse ya uwepo wa HAMAS iendelee huku yeye akiwapa wapalestina maisha magumu ili baadae wakimbie Gaza waliachie eneo.
 
Kwa kutumia milango ya fahamu tu hamna haja ya kuitazama.... Nipo pamoja na Hamas lakini kusema kilichotokea ni mpango wa Israel inachekesha sana
Ni set up, israel aliujua mpango kupitia misri(waliwatonya), israel wakaona ni opportunity ya ethnic cleansing
 
Back
Top Bottom