Wanajamiiforum naomba ushauri wenu

Nkissa

Member
Sep 7, 2012
51
0
Ndugu wana JamiiForum,nipo hapa kuwaomba ushauri wenu kwangu ni jinsi gani nitaweza kupata elimu ambayo niliikosa huko nyuma. elimu yangu tuseme ni ya ufundi kwani nilianza secondary mwaka kidato cha kwanza 1998 nikashindwa kuendelea ikabidi nipelekwe chuo cha ufundi Veta ( DAKAWA ) Morogoro nikamaliza 2000 nilisoma Plumbing and Pipefitting na pia Welding.
Kwa kipindi chote baada ya kutoka chuo niliajiriwa kwenye kiwanda cha nguo cha KTM Mbagala ambapo nilifanya kwa miaka miwili baadaye niliacha nikaa tu nyumbani sikuwa na wazo lolote la kujiendeleza basi ikabidi niingie kwenye magari nikaanza kufanya kazi ka kondakta ikafika muda niaacha ndipo nikachukuliwa Kaka yangu ktk ofisi yake nikawa kama messenger kwa kuwa nilikuwa nilikuwa najua pia kuendesha gari tena ya kila aina watu walikuwa wananituma hata kazi zao za familia kiasi kwamba nilijenga uaminifu mpaka ikawa zikitokea kazi za kwenda mikoani wananielekeza na nikifika nafanya kwa ufanisi wa hali ya juu kiasi kwamba utadhani nimeisomea hiyo kazi.nimekuwa nikihudhuria ktk seminar mbalimbali mpaka ikafika mahali wakaniajiri mpaka leo na hapa nilipo sina cheti zaidi ya Veta na driving licence yangu mpaka naona aibu.hivyo kupitia haya naomba ushauri wenu iliniweze kuchagua masomo ambayo hayataniangusha ili niweze kupata cheti cha Form six nimeshaenda ktk kituo cha elimu ya watu wazima hivyo natakiwa nianze jan,2013
 
JAPUONY

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
379
250

Soma masomo ya Arts...
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,453
2,000
ndugu wana jamiiforum,nipo hapa kuwaomba ushauri wenu kwangu ni jinsi gani nitaweza kupata elimu ambayo niliikosa huko nyuma. Elimu yangu tuseme ni ya ufundi kwani nilianza secondary mwaka kidato cha kwanza 1998 nikashindwa kuendelea ikabidi nipelekwe chuo cha ufundi veta ( dakawa ) morogoro nikamaliza 2000 nilisoma plumbing and pipefitting na pia welding.
Kwa kipindi chote baada ya kutoka chuo niliajiriwa kwenye kiwanda cha nguo cha ktm mbagala ambapo nilifanya kwa miaka miwili baadaye niliacha nikaa tu nyumbani sikuwa na wazo lolote la kujiendeleza basi ikabidi niingie kwenye magari nikaanza kufanya kazi ka kondakta ikafika muda niaacha ndipo nikachukuliwa kaka yangu ktk ofisi yake nikawa kama messenger kwa kuwa nilikuwa nilikuwa najua pia kuendesha gari tena ya kila aina watu walikuwa wananituma hata kazi zao za familia kiasi kwamba nilijenga uaminifu mpaka ikawa zikitokea kazi za kwenda mikoani wananielekeza na nikifika nafanya kwa ufanisi wa hali ya juu kiasi kwamba utadhani nimeisomea hiyo kazi.nimekuwa nikihudhuria ktk seminar mbalimbali mpaka ikafika mahali wakaniajiri mpaka leo na hapa nilipo sina cheti zaidi ya veta na driving licence yangu mpaka naona aibu.hivyo kupitia haya naomba ushauri wenu iliniweze kuchagua masomo ambayo hayataniangusha ili niweze kupata cheti cha form six nimeshaenda ktk kituo cha elimu ya watu wazima hivyo natakiwa nianze jan,2013
umesema kupata cheti cha 4m 6 ina maana cha 4m 4 ushapata au mikakati unayoiweka ni ipi?
 
Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
4,495
2,000
Ikiwa kama elimu ya watu wazima itakusadia ni vyema ukaing'ang'ania. Mimi siyo mtaalamu sana wa elimu ya watu wazima. Ila mawazo ya pesa weka mbali ikiwa kama utadhamiria kubukua. Kaza msuli angalau upate cheti.
Kuna jamaa yangu aliajiriwa voda na kufanya kazi kama wewe. alibweteka, baadaye Vodacom wakadai vyeti vya elimu, jamaa akawa hana, kibarua kikaota nyani ikabidi arudi elimu ya sec. ya miaka miwili, na mwaka jana amehitimu Advanced Piploma in Procurement.
 
EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,471
2,000
Kwanza hongera kwa kuchagua kusoma. Hilo lenyewe ni mpango mzuri.

Kuhusu usome masomo yapi, hapo itagemeana na uwezo wako.

Naweza kukushauri soma somo hili, kumbe halipandi kwako.

Wewe mwenyewe unajiona ni mzuri kwenye masomo yapi?

Kuhusu kusomea kituo cha elimu ya watu wazima, sidhani kama ni chaguo baya.

Ninawajuwa watu walijiendeleza kupitia hivyo vutio, wawili wana masters na mmoja ana degree.

Kwa hiyo, inawezekana. Kaza buti na elekeza malengo yako kwenye elimu na utafanikiwa.

Nakutakia kila la heri.
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,158
2,000
jifikirishe mwenyewe unachoweza kusoma kwa ufasaha then uende shule, kila la heri
 
Mokoyo

JF-Expert Member
Mar 2, 2010
15,158
2,000
wakati mwingine ni vigumu sana hapo kwenye red kutokana na ukweli kuwa inawezekana hiyo pesa ndio anayotumia kujisomeshea, ajitahidi tu kubalance
Ikiwa kama elimu ya watu wazima itakusadia ni vyema ukaing'ang'ania. Mimi siyo mtaalamu sana wa elimu ya watu wazima. Ila mawazo ya pesa weka mbali ikiwa kama utadhamiria kubukua. Kaza msuli angalau upate cheti.
Kuna jamaa yangu aliajiriwa voda na kufanya kazi kama wewe. alibweteka, baadaye Vodacom wakadai vyeti vya elimu, jamaa akawa hana, kibarua kikaota nyani ikabidi arudi elimu ya sec. ya miaka miwili, na mwaka jana amehitimu Advanced Piploma in Procurement.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
2,000
Kila la kheri ndugu. Elimu haimtupi mtu, na hakuna anaeweza kukupokonya.ukishaipata. Umechagua fungu jema. Natamani ungeendeleza ujuzi wako wa magari, engineering inaweza ikakufaa zaidi. Ukipenda waweza angalia options za chuo cha maji rugemarila, ikakuepusha na mtihani wa form six kwa kufanya diploma kwanza.
Kila la kheri.
 
Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,695
2,000
Kwa vile elimu haina mwisho na una ndoto ya kujiendeleza usikate tamaa. Fanya utafiti uone ni masomo gani unayapenda na kuyaweza then upige kibarua uweke pesa kwa ajili ya kuanza kujilipia na kujitunza na kusoma.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom