Wanajamii, msaada tafadhali!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanajamii, msaada tafadhali!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HOYANGA, Oct 16, 2011.

 1. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naomba msaada wa kujua mahala ambapo hivi vyuo vilipo hapa dar, nikiwa naanzi safari kutokea ubungo!??? Institute of social work na institute of tax administration
   
 2. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,978
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tembea toka stend ya mabasi ubungo mpaka sheklango ,panda mabasi ya mwenge,shuka ongera bar .pembeni ya ongera bar kushoto ndipo chuo cha ustawi wa jamii.ukitaka enda chuo cha tax(tra) tembea mpaka kituo cha daladala cha itv,then apo kulia utaona bango la chuo cha tax.fuata maelekezo,chuo kipo baada ya itv
   
 3. HOYANGA

  HOYANGA Senior Member

  #3
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 180
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  asante sana mkuu!!! usiku mwema!!!
   
Loading...