Wanahitajika wauza duka (shop attendants)

WANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)

SIFA ZA MWOMBAJI

-Umri: miaka 18 - 25

-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)

-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.

BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:

-Kuuza vifaa vya dukani

-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi

-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.

- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.

- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.

ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).

MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.

Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com

Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.

Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
Bdo ipo
 
Back
Top Bottom