Wanahitajika wauza duka (shop attendants)

KIM JONG

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
213
57
WANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)

SIFA ZA MWOMBAJI

-Umri: miaka 18 - 25

-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)

-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.

BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:

-Kuuza vifaa vya dukani

-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi

-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.

- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.

- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.

ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).

MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.

Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com

Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.

Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
 
Mmmm
 
Eti na wa degree mnapokea
 
Email tayari kiongozi
 
Mkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana

Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu

Ni Mtazamo wangu tu.
 
Unakuta unatuma cv kumbe mtu ashatafuta watu wake siku nyingi
 
Ndo hivyo mkuu
Kama ilala mbona jirani tu hapo,kisarawe si shida

Ukiwa na shida utafika hata kwa kuulizia tu,bora ufike ofisini ujue jibu 1,kuliko kusubiri hayo majibu ya email muda mrefuuu.
 
Mkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana

Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu

Ni Mtazamo wangu tu.
Hapana siyo sahihi. Ukifanya hivyo watakuja wenye sifa na walio na sifa, utakuwa na watu wengi ambapo kazi za kawaida hazitafanyika. Kwa email watachuja wanaowafaa na kuwaita katika interview.
 
Mkuu mi naona bora ungetaja mahari ofisi zilipo mtu aende aonane na waajiri ana kwa ana

Hayo mambo ya kutuma cv kwa email,shida tupu

Ni Mtazamo wangu tu.
Sasa unaonana vip8 na waajiri wakati hata pre screening hujapita? Wabongo wengi hua wanatatizo kwenye kuomba kazi
 
Back
Top Bottom