Hahah kama takubarii mimi lipa laki 200 tafanya kazi nawewe ila kama taona ni hela ndogo basi taondoka tu tatafuta fanyakazi ingine.Hii yenye midegree ni michache sana kuwa under 25 yrs na inataka salary kubaaa kubaaa bhanaa
Hahah kama takubarii mimi lipa laki 200 tafanya kazi nawewe ila kama taona ni hela ndogo basi taondoka tu tatafuta fanyakazi ingine.Hii yenye midegree ni michache sana kuwa under 25 yrs na inataka salary kubaaa kubaaa bhanaa
Nina miaka 27 mkuu vipi nitume vyeti
Bdo ipoWANAHITAJIKA WAUZA DUKA (SHOP ATTENDANTS)
SIFA ZA MWOMBAJI
-Umri: miaka 18 - 25
-Elimu Form Four au Form Six lakini aliyepata cheti cha masomo (academic certificate)
-Awe muaminifu, anayejituma na mwepesi wa kuelewa.
BAADHI YA MAJUKUMU MUHIMU:
-Kuuza vifaa vya dukani
-Kuhakikisha bidhaa za dukani ziko mpangilio sahihi
-Kuweka safi mazingira ya ndani na nje ya duka.
- Kuhakikisha Mali inayoingia na inayotoka dukani inaingizwa kwenye vitabu husika.
- Uwezo wa kutoa huduma bora kwa wateja - lugha nzuri, usafi binafsi, unyenyekevu.
ENEO LA KAZI: Wilaya ya Ilala (DSM) na Kisarawe (PWANI).
MALAZI
Kampuni ina utaratibu wa kumpangia / kuwapangia chumba wafanyakazi katika eneo lililo karibu na duka husika.
Mwenye sifa tajwa Tafadhali tuma barua ya maombi ya kazi na CV yako fupi kwa email ifuatayo:
rvbizsolutions@gmail.com
Aliyepata mafunzo ya computer atafikiriwa haraka.
Mwisho wa kupokea maombi ya kazi ni tarehe 14/11/2018
Utaratibu ukojeBdo ipo
Mimi nipo chuo mwaka wa pili udsm lakn napenda sana kazi hiyo, vp bso ipoBdo ipo