WANAHITAJIKA WADAU WANATAALUMA YA BIASHARA NA MASOKO

kupelwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
1,090
Reaction score
454
WNahitajika wataalamu wa hiashara na masoko hususani business develepment expertise na marketing promotion(mobile/road show/to[r)market promotion.kuna fulsa ya kufanya na ina enhancend compansetion scheme.wote jinsia ya kike na kiume,uzoefu si kigezo kizuizi,wenye sifa wanipm inbox mapema nafasi ni chache
 
Mtakuwa mnatafuta machinga wa kuwapa vyombo. Kama mko serious ktk masoko tangazo lingekuwa la kitaalam.
 
ndugu yangu kujua kutumia keyboad ni tatizo?ni lazima ucomment hata fikra usiyoijua?jenga utulivu wa uelewa ndo uje na mantiki,job description ya business development expertise ni umachinga?na je marketing promotion particulatly road show/tour/mobile market promotion ni umachinga?jamani hujui kitu acha ubabaishaji wa kitozi kupoto&ha concerpt kisa unajua kutype keyboard kwenye smartphone.wakati mwingine nikujidharilisha unapotoa hoja hovyo
 
Kweli kutumia keyboard ni kazi kwelikweli mkuu, si ndio maana umeshindwa hata kuziweka hizo job descriptions [emoji3] [emoji3] [emoji3].

Kama kweli wewe unahitaji kufanya recruitment si ungeandika inavyotakiwa!
 
Kaa upoteze muda,maana tayari kisomo na sindqno zimekuingia jifarague lakini sindano ya moto imekuingia.sasa msomi mzima huelewi hata maana ya job deacription iliyopo na ipo wazi basi kqalia usomi wa jamii forum utapata likes kibao kwa kupumba nyingi
 
'Job deacription' [emoji1] . Haya mtaalamu !
 
Back
Top Bottom