Anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta na pikipiki

Kamawewe

JF-Expert Member
Jan 16, 2013
531
503
Habari wakuu anahitajika mtu wa mauzo anayeweza kuendesha guta mpya kabisa na piki piki wa kutafuta wateja na kusambaza bidhaa za vyakula ikiwemo brand ya unga wa sembe inayojulikana Mtwara (gas city) na iliyo kwenye soko kwa zaidi ya miaka saba.

Sifa
i. Awe na leseni ya kuendesha guta na piki piki
II. Awe mwenye kujituma na mwaminifu
III. Awe na elimu ya kidato cha nne au zaidi
IV.Atakayefanikiwa atahitajika kupata wadhamini wawili

Mwenye vigezo tuwasiliane pm

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom