Wanaharakati wengi wa Tanzania hawajitambui

Wanaharakati wengi wa Tanzania hawajitambui

Wewe na mamayenu ndio mko desperate pamoja na mleta post aliyeaga jf Cha ajabu amejiridisha mwenyewe Kwa ujinga wake kama alivyo mama yenu huko ccm.
Wewe umesharukia false dichotomy logical fallacy kwamba kila anayewasema wanaharakati kwa ujinga wao basi ni mwana CCM mfuasi wa Samia.

Huelewi kuwa kuna watu wanaweza kuipinga CCM na kumkosoa Samia na kuona ujinga wa wanaharakati pia.

Umejiwekea ujinga wa false dichotomy ya "ama unaisupport CCM na Samia, ama una support wanaharakati".

Ujinga mtupu.
 
Hata ww mkuu unamtqzamo kama wa @malaria2 ?!
Kwenye nini?

Mtazamo wangu kwamba wanaharakati wa Tanzania wanaolilia Marekani ije iingilie mambo ya Tanzania hata kijeshi ulikuwa hivyo kabla ya kuona thread hii.

Na huyo Malaria 2 mpaka sasa hata simjui.

Nachangia mada kwa kuangalia hoja, si kwa kuangalia nani katoa hoja, mtoa hoja hata simfahamu na pengine kuepukana na kuchangia kwa kasumba, ni vizuri nisiangalie mtoa mada ni nani nijikite kwenye mada. Bila ya kuwa biased kwa kuangakia hii mada kaitoa rafiki yangu au adui yangu, nianze kuunga mkono au kupinga mada kwa sababu ya kuangalia kaitoa nani, badala ya kuangalia hoja.

Nimeona Mange Kimambi na Maria Sarungi waki post ujinga huu kwa desperation tu, nikasema huu ujinga. Wakati Marekani inaanza kushambulia Venezuela na Iran.

Kabla ya uzi huu kuwapo.

Mimi nachangia hoja, sichangii kwa kuangalia nani katoa hoja.

Changia hoja, usichambue mtoa hoja badala ya kuchangia hoja.

Kuchambua mtoa hoja negatively badala ya kuchambua hoja ni logical fallacy.

Inaitwa ad hominem fallacy.
 
Tanzania kuna nini cha kupiga? Yaani USA wapige bomu ili kumwondoa Samia madarakani? Trump leo akitaka Samia aondoke kesho hatakuwepo, tena kwa kutumia social media tu.
Mtoe kupitia social media mara ngapi mnatumia social media na bado mnafeli?
 
Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
sio wanaharakati tu gentleman kama akina mlevi kitima,
hata baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa hususani vya upinzani na mamaluki wao, kabisa hawajitambui kabisa.
kwa mfano heche.
 
Mimi sio Ccm na wala sisapoti utawala huu hata kidogo ila sisapoti wanaharakati uchwara wachumia tumbo wapuuzi na wake wa marekani wapumbavu mnapigania haki vivyo hivyo mnasapoti uvamizi wa Marekani nchi Iran wapumbavu nyie
Hata wewe mpumbavu unashabikia Iran inayofadhili ugaidi duniani.
 
Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Kama inawezekana waje tuu, mmeiba uchaguzi nchi nzima then mkaua maelfu ya watu wasiokuwa na silaha, hata mkoloni hakuwa mshenzi katili kama hilo malaya na CCM
 
Kwenye nini?

Mtazamo wangu kwamba wanaharakati wa Tanzania wanaolilia Marekani ije iingilie mambo ya Tanzania hata kijeshi ulikuwa hivyo kabla ya kuona thread hii.

Na huyo Malaria 2 mpaka sasa hata simjui.

Nachangia mada kwa kuangalia hoja, si kwa kuangalia nani katoa hoja, mtoa hoja hata simfahamu na pengine kuepukana na kuchangia kwa kasumba, ni vizuri nisiangalie mtoa mada ni nani nijikite kwenye mada. Bika ya kuwa biased kwa kuangakia hii mada kaitoa rafiki yangu au adui yangu, nianze kuunga mkono au kulinga mada kwa sababu ya kuangakia kaitoa nani, badala ya kuangalia hoja.

Nimeona Mange Kimambi na Maria Sarungi waki post ujinga huu kwa desperation tu, nikasema huu ujinga. Wakati Marekani inaanza kushambulia Venezuela na Iran.

Kabla ya uzi huu kuwapo.

Mimi nachangia hoja, sichangii kwa kuangalia nani katoa hoja.

Chanhia hoja, usichambue mtoa hoja badala ya kuchangia hoja.

Kuchambua mtoa hoja negatively badala ya kuchambua hoja ni logical fallacy.

Inaitwa ad hominem fallacy.
Raia wengi wamekata tamaa na hawaoni namna yoyote CCM itakubali kuondoka madarakani kwa njia ya sanduku la kura kupitia uchaguzi ndio maana wengine wanafikia kusema hewala liwalo na liwe tu.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Hadi ukiona mtu au watu wanataka Binadamu wenzao ndo wawasaidie kutatua matatizo yao ambayo wameyasababisha wenyewe, jua basi kama Binadamu uko kwenye jamii ya hovyo kupindukia...Matatizo yetu ni jukumu letu kuyamaliza Kwa namna yoyote Ile....Kutatua matatizo kunahitaji collective efforts kuanzia chini kabisa Hadi juu....
 
Raia wengi wamekata tamaa na hawaoni namna yoyote CCM itakubali kuondoka madarakani kwa njia ya sanduku la kura kupitia uchaguzi ndio maana wengine wanafikia kusema hewala liwalo na liwe tu.
kikinuka hapa wa kwanza kuumia ni wanayemuita "mtanzania mnyonge"
 
Wanataka Marekani aingilie Tanzani. Wanasahau wakiingilia kama Iran majengo ya chadema na afisi za wanaharakati nyingi zitapigwa drone
Screenshot_20260406-150040~4.png
 
Wewe ni ndumku.....kuna uzi ulisema unaaga jf, au umesahau password za ID mpya ?
 
Back
Top Bottom