Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

Ni msafara wenye ujumbe muhimu kwa binadamu na kuelewa madhila ya wapalestina.
Kama watafanikiwa kufika kwenye fukwe za Gaza kama walivyopanga basi itakachofanya Israel ni kuua wale watakaokwenda kugombea chakula
Wewe ndugu una mawazo mabaya sana!!!
 
Wameshakamatwa na jeshi la Israel na wamewekewa picha za video za Hamas walivyotenda unyama october7,na wanarudishwa kwenye nchi zao walikotoka,kwa mujibu wa mamlaka ya Israel inadai hawa walikua ni wapiga selfie tu sio watoa msaada kwani kuna utaratibu wa kufikisha misaada.
Ndiyo maana Jeshi la Israel linaitwa “The Most Moral Military Army in the World” watu wanawakamata harafu wanawapa Maji na mikate iliyoshiba nyama harafu watarudishwa kwao salama salimini!!! Hongera sana IDF kwa ubinadamu huo!!!
 
Attachments

  • IMG_6943.mp4
    9.1 MB
Lio jioni tarehe 8 mwezi Juni Wanasema wapo karibu kufika Gaza.Wameshaanza kuuona ufukwe wake.
Israel imeanza kuwazimia mitambo yao ya mawasiliano na wanahisi muda wowote kuna watu watakaopanda ndani ya meii yao lakini wamesema hawaogopi na hawatarudi nyuma.
Na wewe Webabu unaamini hao wajinga walikuwa watoa misaada ya kibinadamu huko Gaza!! Hao Wataka sifa za kutangazwa tu na kupiga Selfie baharini. Baada ya kukamatwa walipokaguliwa wamekutwa na unga mifuko 15 mafuta ya kupikia lita 60 Midoli ya watoto zaidi ya 1,000 hao watu walikuwa watalii tu hakuna mota misaada hapo!!!
 
Wa

Watoa misaada wanapewa misaada ya mikate😂😂 hao walikua watalii msemo wako mkuuu
 
View attachment 3352951
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.

Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa wanaharakati waliokuwemo humo.

Huku akibubujikwa na machozi muda mfupi kabla kupanda meli hiyo yenye misaad Greta alisema ni lazima tuendelee kufanya juhudi za kufikisha misaada Gaza kwani siku tukisitisha kufanya juhudi hizo itakuwa ndio tumesita kuwa watu..Akaongeza kwa kusema juu ya kwamba kufanya hivyo ni hatari lakini uhatari wake haukaribiii hata kidogo ubaya wa ukimya wa dunia nzima kwa madhila yanayowapata wapalestina.

Climate activist Greta Thunberg joins aid ship sailing to Gaza aimed at breaking Israel's

What a brave young woman!
Bless!
 
Wameshakamatwa na jeshi la Israel na wamewekewa picha za video za Hamas walivyotenda unyama october7,na wanarudishwa kwenye nchi zao walikotoka,kwa mujibu wa mamlaka ya Israel inadai hawa walikua ni wapiga selfie tu sio watoa msaada kwani kuna utaratibu wa kufikisha misaada.
Walichokusudia kimefanikiwa kwa kiwango kikubwa na ni mfano wa kuigwa na wapenda amani na wenye huruma kote duniani.Sio kuachia watu wanakufa tu bila kusaidia au kupaza sauti
 
What a brave young woman!
Bless!
Unasifia watalii waliokuwa wanataka sifa kazi yao kupiga Selfie kwenye boat!! Ukiambiwa watoa misaada huko unaenda kuwaita wahuni hawa? Pole sana ndugu kwa ujinga huo!!
 
Walichokusudia kimefanikiwa kwa kiwango kikubwa na ni mfano wa kuigwa na wapenda amani na wenye huruma kote duniani.Sio kuachia watu wanakufa tu bila kusaidia au kupaza sautii
Wayahudi 1,200 walio Uliouliwa na na magaidi wa Hamas wao hawakuwa watu Ila watu zaidi ni hawa waarabu wa Gaza?? Alifanya nini baada ya Hamas kuvamia Israel na kuua na kuteka watu!.
 
Flotilla inayoelekea Gaza iliyokuwa imebeba wanaharakati, akiwemo mwanaharakati wa hali ya hewa wa Sweden Greta Thunberg, ilifika katika bandari ya Ashdod ya Israel siku ya Jumatatu baada ya kunaswa na Jeshi la Wanamaji la Israel. Meli hiyo ilisimamishwa baharini na kuelekezwa tena bandarini bila upinzani.

Kundi hilo, ambalo lilijaribu kupinga kizuizi cha jeshi la majini la Israeli huko Gaza, sasa linashughulikiwa na viongozi wa Israeli. Kuwasili kwao Ashdod kunaongeza sura nyingine kwenye mfululizo unaoendelea wa juhudi za wanaharakati wa flotilla zinazolenga kuvutia Gaza.
 
Attachments

  • IMG_3204.jpeg
    IMG_3204.jpeg
    62 KB · Views: 5
  • IMG_3203.jpeg
    IMG_3203.jpeg
    111.4 KB · Views: 7
  • IMG_3202.jpeg
    IMG_3202.jpeg
    95.8 KB · Views: 7
Back
Top Bottom