Wanaharakati 11 maarufu akiwemo Greta Thunberg wameamua kujitoa muhanga ili kuvunja mzingiro wa Israel kuwafikishia misaada Gaza

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
1748797619002.png

Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.

Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa wanaharakati waliokuwemo humo.

Huku akibubujikwa na machozi muda mfupi kabla kupanda meli hiyo yenye misaad Greta alisema ni lazima tuendelee kufanya juhudi za kufikisha misaada Gaza kwani siku tukisitisha kufanya juhudi hizo itakuwa ndio tumesita kuwa watu..Akaongeza kwa kusema juu ya kwamba kufanya hivyo ni hatari lakini uhatari wake haukaribiii hata kidogo ubaya wa ukimya wa dunia nzima kwa madhila yanayowapata wapalestina.

Climate activist Greta Thunberg joins aid ship sailing to Gaza aimed at breaking Israel's

View attachment 3352951

Kobaz zinaenda kutawanyikia baharini
 
Utatupa updates. Kitu ambacho huwa nakiona kwa Wazungu ni ujasiri walionao
Tunafuatilia pamoja kama watapigwa kama wale wa mwanzo.
Dada anabubujikwa na machozi kwa kuona watu wanawindwa na kuuliwa kwa kufuata chakula.Waarabu wanakula pilau na kumwaga tu.
 
Kobaz zinaenda kutawanyikia baharini
Wengi wao si wavaa kobazi za kiislamu kama ambazo zilivaliwa na waislamu waliotangulia akina Yesu. alayhi salaam
 
Tunafuatilia pamoja kama watapigwa kama wale wa mwanzo.
Dada anabubujikwa na machozi kwa kuona watu wanawindwa na kuuliwa kwa kufuata chakula.Waarabu wanakula pilau na kumwaga tu.
Netanyahu Akber.
 
Wengi wao si wavaa kobazi za kiislamu kama ambazo zilivaliwa na waislamu waliotangulia akina Yesu. alayhi salaam
Yesu ulitegemea avae viatu atoe wapi enz hiyo zaid ya kobaz
 
Atashangaa.Unamletea myahudi ujingaujinga?Watabondwa hadi wajute kufanya kiherehere.
Israel pia sio kichaa kama unavyoona wewe.
Akithubutu kuua hao wanaharakati amejichimbia kaburi.
Hata wanaomkingia kifua watamkengeuka sooner.
 
Ni msafara wenye ujumbe muhimu kwa binadamu na kuelewa madhila ya wapalestina.
Kama watafanikiwa kufika kwenye fukwe za Gaza kama walivyopanga basi itakachofanya Israel ni kuua wale watakaokwenda kugombea chakula
 
View attachment 3352951
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.

Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa wanaharakati waliokuwemo humo.

Huku akibubujikwa na machozi muda mfupi kabla kupanda meli hiyo yenye misaad Greta alisema ni lazima tuendelee kufanya juhudi za kufikisha misaada Gaza kwani siku tukisitisha kufanya juhudi hizo itakuwa ndio tumesita kuwa watu..Akaongeza kwa kusema juu ya kwamba kufanya hivyo ni hatari lakini uhatari wake haukaribiii hata kidogo ubaya wa ukimya wa dunia nzima kwa madhila yanayowapata wapalestina.

Climate activist Greta Thunberg joins aid ship sailing to Gaza aimed at breaking Israel's

1748896352174.png

https://www.jpost.com/breaking-news/article-856277

'Hope Greta and her friends can swim!' Lindsey Graham writes regarding Gaza 'Freedom Flotilla'

Msafara unatarajiwa kuchukua siku saba kufika ufukweni Gaza.Leo siku ya mwanzo imepita.
 
Lio jioni tarehe 8 mwezi Juni Wanasema wapo karibu kufika Gaza.Wameshaanza kuuona ufukwe wake.
Israel imeanza kuwazimia mitambo yao ya mawasiliano na wanahisi muda wowote kuna watu watakaopanda ndani ya meii yao lakini wamesema hawaogopi na hawatarudi nyuma.
 
View attachment 3352951
Wanaharakati hao wameamua kufanya hivo kwa kupanda meli iliyoondoka bandari ya Catania kwenye visiwa vya Sicily ambavyo haviko mbali sana na Gaza.

Mwezi uliopita meli kama hiyo zinazoongozwa na taasisi ya Freedom Flotilla ilishambuliwa na Israel na kuwaka moto kulazimika kuokolewa kwa wanaharakati waliokuwemo humo.

Huku akibubujikwa na machozi muda mfupi kabla kupanda meli hiyo yenye misaad Greta alisema ni lazima tuendelee kufanya juhudi za kufikisha misaada Gaza kwani siku tukisitisha kufanya juhudi hizo itakuwa ndio tumesita kuwa watu..Akaongeza kwa kusema juu ya kwamba kufanya hivyo ni hatari lakini uhatari wake haukaribiii hata kidogo ubaya wa ukimya wa dunia nzima kwa madhila yanayowapata wapalestina.

Climate activist Greta Thunberg joins aid ship sailing to Gaza aimed at breaking Israel's

Wameshakamatwa na jeshi la Israel na wamewekewa picha za video za Hamas walivyotenda unyama october7,na wanarudishwa kwenye nchi zao walikotoka,kwa mujibu wa mamlaka ya Israel inadai hawa walikua ni wapiga selfie tu sio watoa msaada kwani kuna utaratibu wa kufikisha misaada.
 
Back
Top Bottom