Wanafunzi wanane wambaka mwalimu kwa zamu

Huyo mwalimu anafundisha biology....kama ndiyo basi walikuwa kwenye mafunzo ya vitendo

Hivyo hivyo mwana!
ila isije hilo mbuguma lina miwaya, na lengo lake ni kuviathiri kina dogo na miwaya yake, ili wawe bangusilo! Wapimwe mwana ili ukweli uwe shahidi!
 
Tusiwe wanafiki, Mbona walimu wa kiume wanawabaka, wanawanyanyasa na kuwahonga maksi ili wawape mchezo dada zetu kila siku? Hii ni case ya kuitazama vizuri na tusiwe na "Double standars" lakini tupate fundisho..Kwakweli hali ni mbaya mashuleni!
 
wakati huu ni mbaya sana enzi zile ilikuwa mtoto ukifanya kosa unaadhibiwa haijalish mzazi gani au mtu mzima yupi kakuagiza na ukija nyumbani ukimueleza mzazi wako kuwa mzazi fulani kakuadhiabu basi anakuongezea adhabu enzi hizi jirani akimuadhibu mwanao kwa kutenda kosa basi wewe mzazi unapigana na mzazi aliyemuadhibu mwanao tutafika kweli
 
Kwa habari zilizopo Mwalimu husika ameamua kunywa sumu kukwepa aibu toka magazetini,mana amehisi kuaibika sana..na sasa madaktar wanajitahd kuokoa maisha yake
 
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.

Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.

Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.

Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.

Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.

Nahisi huyu Mwalimu aliwakaribisha hawa Wanafunzi Mwenyewe. Mara baada ya Mambo kuharibika aka kufumwa alidanganya kuwa wamembaka
 
Watoto wadogo wanapenda mchezo wa MATUSI,kwa mchezo huu kama kweli wamefanya,ndio maana matokeo ya NECTA mabaya na hakuna mwaka yatakuwa mazuri,what the hell is that?hawa si ndio wanaandika matusi na verse kwenye booklets za NECTA?Mungu wangu Tanzania inakufa tunaiangalia,hivi vijana kama hawa WATAFAULU mtihani kweli?Mwandishi hajalipoti tukio kikamilifu hasa mazingira aliyobakwa,kwamba walimvamia,au mmoja ALITONGOZA wengine wakavamia kupata UTAMU,lakini kama alitongozwa akakubali mwl. kwa mwanafunzi,alikiuka na kuwatamanisha vijana wengine wakavamia,tukio kama hili linatakiwa kukemewa hasa kwa wanafunzi/vijana wetu,hii hali ni mbaya kwa mustakabali wa taifa letu!
 
Yaani vijana wanane ni wengin sana kumuingilia mwana mama mmoja. Lazima huyu mwalimu angezimia kama siyo kufariki, tena vijana ambao ndio kwanza wana motomoto siyo wale wa kupiga moja pembeni kama bata.

Polisi wana kazi kubwa ya kuchunguza tusijelaumu watoto kumbe kuna kubambikiza kesi hapa.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

makapu mengine yeshakuaga sugu, hata ukate na wembe damu haitoki!
 
Vijana hawafanyi bidii darasani,wanafeli kisha wanabaki mitaani wakilalamika maisha magumu na kazi hakuna.
 
Nitacomment nikisikia utetezi wa hao vijana.
Si bure kuna kitu apo!

Mkuu sawa hata mimi naliona hilohilo,kabla ya kuanza kutukana na kutoa hukumu ningependa kusikia utetezi wa hao vijana hii ya kusikia upande mmoja na kuanza kutoa hukumu siafiki.kuna jambo hapo kati.
 
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.

Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.

Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.

Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.

Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.
Hiyo shule ina msururu wa mikosi...fuatilia utakubali si kitoto.
 
Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!

Wakati nasoma nlikuwa mtundu sana.O'level na A'Level.
Lakini sikuwahi kuwaza hata siku moja kumbaka mwalimu.
Hawa watakuwa wehu. Hawana akil tosha hao.
 
lazima atakuwa analipa na aliwachokoza kwa kuvaa vimini, hivi hapo Bagamoyo hakuna madenti wa kike au ni wote wanavaa nguo ndefu na baibui, mbona kuna hotel za kitalii?
Kweli majibu hayana maswali tena nyege!!!!!!!!!!!!!!!!!! unenge !!!!!!!!!! ukame?
 
mwalimu aliyebakwa mbona hajatajwa?

Kwa tabibu ya majina ya wanafunzi bila shaka mwalimu atakuwa wa jinsia wa kike!

Ila hawa wanafunzi wanahitaji maombi yenye upako haswa!

Na nina hofu hii sekondari ni ya kata.
Hasara tupu!
 
Back
Top Bottom