Wanafunzi wanane wambaka mwalimu kwa zamu

Hili ni tukio baya sana....
Lakini inatakiwa ijulikane mazingira aliyobakwa mwalimu huyo, je ni gest, nyumbani kwake, nyumbani kwa mmoja wa watuhumiwa, shambani.....na mambo kama hayo!

.....vijana wengi wa sekondari wanakuwa wanabalehe hivyo wanakuwa na ukame wa ajabu si vizuri mwanamke akawa karibu nao hasa kama si ndugu yao....
...pole mwalimu...
 
Habari hii ina masuala mengi kuliko majibu.
Uharamia huo ulifanyika saa tisa alasiri. Je ulifanyika wapi? nyumbani kwa mwalimu, guest au kichochoroni?


Lakin msingi mkubwa hapa nafikiri ni mwalimu menyewe kupenda kuvaa nguo zilizokosa adabu kwa jamii na kuvutia wanafunzi kuelekea kumbaka.

nalaani kitendo hicho lakin vile vile nashauri lazima kuwe na dressing code kwa waalimu wanapoingia na kufundisha skuli.
Kuweza kutenganisha nguo za beach, nguo za usiku na nguo za kazini.


Hakuna uhalali wa kubaka.....
Nadhani utasema vichaa wakikaa uchi wabakwe na iwe halali!
Think Barubaru...think!
 
Hizi shule zimekwisha! mwanafunzi anaanzia wapi kumbaka mwalimu wake! haiba ya huyo mwalimu nadhani iko questionable!
 
Nakumbuka enzi zetu ukimwona Mwalimu hata kama uko nyumbani wikiend unaanza kufikiria kuchomekea shart na kuwa smart.. walimu waliheshimika sana. Lakini baada ya kuanza hizi shule za academia mwanafunzi anaheshimika zaidi coz analipa ada kubwa!!!
 
Siwezi kutoa hukumu kwa upande wowote ila cha muhimu ifahamike sheria ya jinai inasema 'he who alleges must prove' na mahakama isiacha mashaka katika kila jambo. Mwalimu kama shahidi wa upande wa jamhuri ndo anatakiwa kuleta ushahidi wa kutosha kuwa alibakwa na hao vijana nane.
 
Issue hapa je ni kweli alibakwa kwa maana ya kubakwa kisheria, umri wa hao vijana, mazingira ya kitendo kilipofanyika kweli hakuweza kuonekana? Shahawa zipimwe kuangalia ukute si wote walimuingilia au kuaid or abet.
 
Mie nadhani upande wa mashtaka una kazi ya kuestablish guilty ya hao watoto. Naamini muda wa saa tisa, bado watu wapo shuleni unless kuna corroborative facts za kuunganisha hii stori. Na wamuingilie wote nane hapohapo shule! Napenda kuchunguza tabia ya mwalimu huyu ili tujue.
 
Anaweza akawa anatabia ya kulala na vijana sasa amegundulika au stori zime-leak sasa ndo kakimbilia court. Hata hivyo the court is not ur mother, we all wait for her to prove the allegations laid against those youngsters!
 
Hapa siwatetei hawa vijana lakini i wish kuwasikia wakitoa ushahidi wao, je walikuwa armed mpaka wambake huyo teacher au? Mida ya saa tisa kweli? Nadhani tuingoje mahakama na hawa watoto wapatiwe the best criminal law counsel, there is a lot to be proved in order to hold these boys criminally responsible.
 
hakuna mihadarati walimu wamezidi kuvaa visketi vifupi ndo maana madogo wanapata mzuka wanawapakaza maticha gundi mwanzo mwishoo...

una uhakika huyo aliyebakwa alikuwa havai nguo zenye maadili? ukweli ni kwamba wanafunzi wengi ni wabovu sana,wengine mpaka wanabwia unga na ndo maana kila kukicha matokeo yao yanazidi kuwa mabaya.
 
Mie nadhani upande wa mashtaka una kazi ya kuestablish guilty ya hao watoto. Na wamuingilie wote nane hapohapo shule! Napenda kuchunguza tabia ya mwalimu huyu ili tujue.

Yaani vijana wanane ni wengin sana kumuingilia mwana mama mmoja. Lazima huyu mwalimu angezimia kama siyo kufariki, tena vijana ambao ndio kwanza wana motomoto siyo wale wa kupiga moja pembeni kama bata.

Polisi wana kazi kubwa ya kuchunguza tusijelaumu watoto kumbe kuna kubambikiza kesi hapa.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ukweli ni kwamba wanafunzi wengi ni wabovu sana,wengine mpaka wanabwia unga na ndo maana kila kukicha matokeo yao yanazidi kuwa mabaya.

Ni sawa unayosema; lakini na mazingira yenyewe, muda wa tukio, sehemu ya tukio vinatutia mashaka na uhalali wa hii kesi.

Kweli wafanye tendo hili mbele ya Walimu na wanafunzi wengine!!!!!!!! kwa sababu muda uliotajwa ni wa masomo, na sehemu wanasema shuleni!!!!!!!!!!!!!!!

UTATAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
The fact kwamba jamii imekuwa corrupt it doesnt imply that every accused becomes free from innocence, prosecution side will have to satisfy the court beyond reasonable doubts that the boys ar guily and all of them or some of them.
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?
Inakuwaje wengi wa wanafunzi wawe wasukuma wilaya ambayo sio asili yao, hata hivyo majina yaliyotajwa hakuna jina la kisukuma hata moja na wasukuma ni kawaida kabisa kuwa na majina ya kisukuma aidha yote au surname, kwa hiyo utafiti wako haujakaa sawa labda una ugomvi tu na wasukuma.
 
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.

Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.

Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.

Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.

Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.

halafu hawa wnafunzi tunatarajia wafaulu mitihani ikiwa adabu zenyewe ndio hizi kweli jamaniiiiiiiii?
 
inawezekana alielewana na mmoja wao. waalim wenyewe wana maisha magumu wkt baadhi ya wanafunzi hawakosi vijisenti na hivo kumezewa mate na viticha ambavyo baadhi vina umri sawa na videnti. kuna haja ya kuchunguza kwa kina sn kabla ya kuhukum fasta
 
Nalaani kitendo hicho lakini kina maswali mengi kuliko kawaida. Mwalimu kubakwa mchana na idadi kubwa hivyo asipige kelele kutokea mtu wa kwanza. Ningependa kujua mahusiano ya huyo mwalimu na wanafunzi yalikuwaje, inawezekana kuna mwanafunzi ambaye alikuwa ni mpenzi wake na akawasimulia wenzake na kuwatamanisha wakaamua kuwafumania na wao kula mzigo kwa pamoja. Kama ni hivyo mwalimu ni mkosaji kwa kuanzisha mahusiano na mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom