Wanafunzi wanane wambaka mwalimu kwa zamu

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,987
20,269
Wanafunzi wanane wa Shule ya Sekondari Bagamoyo wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo kujibu tuhuma za kumbaka mwalimu wao kwa zamu.

Katika kesi hiyo iliyojaza umati mkubwa wa wakazi wa eneo hilo, imedaiwa kuwa wanafunzi hao walimbaka mwalimu huyo kwa zamu na kumsababishia maumivu makali.

Mwendesha Mashtaka wa Polisi, William Mwantela alimwambia Hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Said Mkasiwa kuwa wanafunzi hao walitenda kosa hilo Januari 16 mwaka huu katika mazingira ya shule hiyo.

Aliwataja wanafunzi hao kuwa ni Emmanuel Antoni, Fadhili Nassoro, Nassa Yohana, Benjamini Mhina, Yusuph Timothy, Frank Jackson, Frank Kanya na Hamisi Timbwa.
**
Mwendesha mashtaka huyo alidai mahakamani hapo kuwa tukio hilo lilitokea shuleni hapo Januari 16 mwaka huu majira ya saa 9:00 jioni.
*
Hata hivyo, watuhumiwa hao wote walikana shtaka na kesi hiyo imeahirishwa hadi Februari 29 mwaka huu baada ya mwendesha mashtaka huyo kudai kuwa ushahidi haujakamilika.

Awali kabla ya kuahirisha kesi hiyo upande wa utetezi ulimwomba hakimu kuruhusu dhamana na hakimu aliruhusu akitaka kila mmoja adhaminiwe na mtu mmoja mwenye hati na kitambulisho ambaye atasaini hati ya dhamana ya Sh2milioni.
*
Washitakiwa watatu walifanikiwa kutimiza masharti hayo ya dhamana na wako nje, lakini wengine watatano wameshindwa na kupelekwa rumande hadi kesi hiyo itakapotajwa tena siku iliyopangwa.
 
Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!
 
Hawa wakifika form 4 ndio wa kwanza kuandika madudu, kuchora vikatuni, matusi na kuandika nyimbo za bongo flava kwenye booklet!! Sishangai hata kidogo!!
 
Huu mtindo wa watu kupigwa mtungo halafu wanasingizia wamebakwa kwa sababu ya aibu
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?
 
wengi wa wanafunzi wa bagamoyo ni wasukuma.hivi wasukuma wana tabia ya kubaka?

Wasukuma tulisha acha mambo ya 'chagulaga'!

Hivi kwenye karne hii ya 21 mitungo bado ipo kweli? wakati 'viburudisho' viko bwerere kila kona
 
Huu mtindo wa watu kupigwa mtungo halafu wanasingizia wamebakwa kwa sababu ya aibu

i full agree with you..hajabakwa atakuwa alimzimia dogo dogo akaitisha mtungo sasa anaona aibu ndo anasema kabakwa
 
Walimu wenyewe nao wanachangia viwalimu vya siku hizi vi csta du alafu wanavaa nguo za mitego chaki ikidondoka akiiokota huku nyuma anawaachia balaa hao wanafunzi wataacha kummezea mate
Sijui hizi shule zinafundisha nini kwa kweli. kuna thread ingine ya wanafunzi kumpiga mwalimu na kumtoa meno!
 
Na ajabu ilikuwa saa 9 alasiri.

Kashifa kama hizi zinaiendea wizara ya elimu moja kwa moja.

China walipotengeneza maziwa ya watoto yenye sumu hata waziri ya viwanda
aliwajibika.
 
Back
Top Bottom