Wanafunzi wa Yesu Walikuwa Waislam - Quran

Castle_Lite

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2016
Posts
3,299
Reaction score
6,378
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
 
Nikuaokotee mawe ngoja mhafidhina Jagina aje!
😅😅😂😂
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible

Kuna ujinga mwingine sielewi unawasaidia nini. Cha muhimu kwenda mbinguni. Acha upuuzi
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
Isa na Yesu watu wawili tayari, ingawa wote wa kutengenezwa
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
Muddy mzee wakujipakulia minyama😅😅😅😅Alijua baadae mtaulizauliza ndo maana akaweka mistari isiyo na shaka ndani yake. Sahizi ukiuliza kuhusu uislam wa wanafunzi wa Yesu wanakuletea hizo, hutoboi.
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
 
Kama walikua Waislam walishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanapataje sifa za kua waislamu Sheikh adriz?
 
Ndio walishahadia Shahada ya kwanza ni ya kumkubali Mungu na ya pili na ya kumkubali Mtume aliyeletwa kwao ambaye ni Yesu (Amani iwe juu yake ) sasa watawezaje kutoa shahada ya kumkubali Muhammad (Peace and blessings be upon Him) kuwa Mtume wao wakati alikuwa bado hajaletwa ? Baada ya kuleta Mtume Muhammad na kuja wale wafuasi wa Yesu hapo ndio lazima kumfuata Mtume mpya maana ndio amekuja kuendeleza chain ya Manabii wa Allaah . Baada ya kuja yeye haikubaliki tena Mila yeyote.

Ila kwenye Qu'ran na hadithi Kuna viashiria kuwa Wanafunzi wa Yesu na waliomfuata mafundisho yake kiukweli walishahadia hata kabla ya ujio wa Mtume Muhammad (Peace and blessings be upon Him ) na kuweka nia kuwa akija watamfuata kwani alitajwa kwenye vitabu vyao na ikawa unafahamika kuwa Kuna Mtume mpya atatokea bara la Uarabuni.

Ndio maana Kuna Swahaba Salmani Al Farsi(Allaah amridhie )yeye alikuwa kwenye dini ya kuabudu moto huko Syria kama sikosei siku ulivyokuja msafara Wakristo nchini kwao akaipenda hiyo dini na akatoroka kuishi na kiongozi mkubwa wa Kikiristo wakati huo alipo kufa alihamia kwa kiongozi mwengine mpaka wa mwisho alipokaribia kufa alimwambia kuwa Zama za kufika Mtume mpya zimekaribia akamuelekeza alama zake na maeneo atayapatikana huyo Swahaba akafika mpaka Madina akahakiki zile alama alizoambiwa na huyo kiongozi wa kikiristo akawa Muislamu . (Soma historia yake Swahaba Salman Al Farsi Allaah amridhie ipo hata gugo)

Nitarudi nikuonyeshe Shahada kwenye Qu'ran
 
Quran tukufu isiyo na chembe ya shaka inasema

Quran 3 :52
"Isa alipo hisi kuwa kati yao pana ukafiri alisema: Nani wasaidizi wangu kwa Mwenyezi Mungu? Wanafunzi wake wakasema: Sisi ni wasaidizi wa Mwenyezi Mungu. Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na shuhudia kwamba sisi hakika ni Waislamu.

Sasa Unabisha ulikuwepooo 😂😂😂😂

Ila Quran ya kiwaki sana.
Kwa namna Mudy alivyoiset Quran , itasomba wajinga weng sana.

Wazolee
Dumas the terrible
kama kweli isa wa kwenye quruani alikuwa na wanafunzi wataje majina yao alafu utuambia ni quruani ngapi ngapi ...........kwanza isa wa kwenye quruan ukoo hana
 
Yesu (Amani iwe juu yake ) na Wanafunzi wake waliomfuata wote walikuwa Waislamu, ukiristo ulibuniwa baada ya yeye kuondoka na watu wakapotosha mafundisho yake na kuweka utatu , Yeye ni Mungu na mengineyo
yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu Kristo

isa hana geneology (ukoo) Bwana Yesu anaukoo

isa alizaliwa chini ya mgende wakati Bwana Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe.

alafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi

kisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.

andiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)
 
Kama walikua Waislam walishahadia
Ash-hadu an la ilaha illa Allah, Wa ash-hadu anna Muhammadan Rasulu-Allah.”?
Na kama hawakushahadia wanapataje sifa za kua waislamu Sheikh adriz?
وَإِذۡ قَالَ عِيسَى ٱبۡنُ مَرۡيَمَ يَٰبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ إِنِّي رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَيۡكُم مُّصَدِّقٗا لِّمَا بَيۡنَ يَدَيَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولٖ يَأۡتِي مِنۢ بَعۡدِي ٱسۡمُهُۥٓ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَآءَهُم بِٱلۡبَيِّنَٰتِ قَالُواْ هَٰذَا

Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati, na mwenye kubashiria kuja Mtume atakaye kuja baada yangu; jina lake ni Ahmad! Lakini alipo waletea hoja zilizo wazi, walisema: Huu ni uchawi ulio dhaahiri! (61 : 6 )

1. Aliposema yeye ni Mtume wa Mungu ; Shahada kuhuhu yeye na Mungu

2. Akataja kuja kwa Mtume na akasema jina lake ni Ahmad (Muhammad) : hapo Yesu mwenyewe (Amani iwe juu yake) kashakubali utume wa Muhammad (Peace and blessings be upon Him) na akiwaambia Wanafunzi wake wakubali .

Uilsamu maana yake ; kujisalimisha kwa Moka mlezi muumba kwa kumpwekesha yeye (kumuabudu peke yake ) , kumtii yeye , kufuata mitume yake na kuachana na washirikina na watu wake.

Mtu awe enzi ya Adam , Nuh , Yusuph , Yakubu nk ni Muislamu ilimradi tu hafanyi ushirikina kwa kuabudu Miungu wengine au kuabudu mwenyewezi Mungu pamoja na Miungu wengine
2. Akawafuata mafundisho wa Mitume katika zama mfano watu wa Yesu wasikilize na kumfuata Yeye au Nuh nk
3. Wakatii maarisho yake mfano kuswali , zaka , kusaidia nk kuacha makatazo mfano zinaa , mauaji nk Kutokana na mafundisho ya MaNabii wao katika wakati husika watahesabika Waislamu.

Ndio maana Wakristo wa Najran Uarabuni kipindi Cha Mtume Muhammad walipokuja na msafara wao kumuona baada kusomewa mafundisho ya Uislamu walikubali na kusema kuwa walikuwa Waislamu toka zamani

ٱلَّذِينَ ءَاتَيۡنَٰهُمُ ٱلۡكِتَٰبَ مِن قَبۡلِهِۦ هُم بِهِۦ يُؤۡمِنُونَ

Wale tulio wapa Kitabu kabla yake (mfano watu wa Yesu injili) wawanakiamini hiki. (Qur'an)

وَإِذَا يُتۡلَىٰ عَلَيۡهِمۡ قَالُوٓاْ ءَامَنَّا بِهِۦٓ إِنَّهُ ٱلۡحَقُّ مِن رَّبِّنَآ إِنَّا كُنَّا مِن قَبۡلِهِۦ مُسۡلِمِينَ

Na wanapo somewa wanasema: Tunaiamini. Hakika hii ni Haki inayo toka kwa Mola wetu Mlezi. Hakika sisi kabla yake tulikuwa ni Waislamu, tulio nyenyekea. (28 : 52 - 53 )

☝️☝️ Hizo Aya zilishuka sababu ya tukio la ujionwa Wakristo wa Najran , walikuwa kama Orthodox sio Wakristo wa utatu mtakatifu baada ya kuona Uislamu na mafundisho yake kuwa hakuna kumshirikisha Mungu unakataza maovu na kuiamrisha mema wakasema misingi hiyo ndio walikuwa wanafuata na kama huo ndio Uislamu basi wao walikuwa Waislamu toka kitambo na wakakubali kumfuata Mtume Muhammad peace and blessings be upon Him
 
yesu hayumo ndani ya quruani (isa sio yesu maana aliota meno kipindi alipozaliwa tu na akaongea) na kama yumo mtaje kwa jina lake yaani Bwana Yesu Kristo

isa hana geneology (ukoo) Bwana Yesu anaukoo

isa alizaliwa chini ya mgende wakati Bwana Yesu alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe.

alafu katika historia ya manabii wote walikuwa wayahudi

kisha anakuja mu1 nabii wa tende muarabu anapingana nao wote.

andiko la islamic kuwako kabla ya muhamad unalitoa wap?? maana yeye mwenyewe alisema nimeamuliwa niwe wa kwanza miongoni mwa walioamin ( akawa wa kwanza kuslim)
Biblia ya Kingereza nao Jina la Yesu wameandika Yesu ?
 
Back
Top Bottom