Wanafunzi wa vyuo wanaongoza kwa kujiuza

Wanafunzi wa vyuo wanaongoza kwa kujiuza

Ahsante kwa kunielewa....na ufafanuz mzur mkuu....ukiwa mzinifu uliokubuu mwanamke hakukatai sijui shetan anajivika usoni mwako......
Huu ni ukweli. Haya mambo yanakuwa rohoni. Hivyo roho zenu huwasiliana hata kabla haujamwambia kwenye ulimwengu wa mwili. Ni somo pana kidogo mkuu.
 
Huu ni ukweli. Haya mambo yanakuwa rohoni. Hivyo roho zenu huwasiliana hata kabla haujamwambia kwenye ulimwengu wa mwili. Ni somo pana kidogo mkuu.
Mkuu nipe elimu mkuu....mm nilikuwa nashangaa...why ??
 
Siku zote Mahitaji yakizidi uwezo
Mwili hutumika
[emoji445] [emoji445] tamaa ikizid uwezo mwili lazima utumike
[emoji445] [emoji445] na shida ukiifanya kigezo hiyo sketi lazima ishuke By Stamina
 
Mkuu;
Mwanamke yeyote ni kahaba tu hata angelikuwa na mume wake akiisha toka nje ya ndoa ni malaya tu. Humpi kitu harudi, Hakuna free lunch pia hakuna free ngono. Kuna siku atakuliza tu we ngoja aku time.
Dawa; Acha ngono, haishibishi bali inaua
 
Sio hao tu, hata wake Za watu tena wa ndoa wanajiuza
 
Uchaw wa watoto wa chuo kuwa na gari na kuwa promic akimaliza masomo unamtafutia ajira....daaah utagegeda mpaka utawakimbia....mm hakuna chuo hapa dar sijatembea na mwanafunzi wao.....nakumbuka mwaka jana nilikuwa nagegeda wanachuo 26 .....kila siku ngoz mpya ....ujana raha kwa kwel

Wakati unajisifu kwa ngono huenda haya mambo yanakulemea kwa kudrain pesa zako ktk matumizi holela ya ngono:
- unaishi nyumba za kupanga au unaishi 'home' kama ilivyo useless vijana wengi wa mjini! Kula bure kulala bure
- huna hata kiwanja
- wadogo zako wa kike wanasoma shule za kata wakiwa wanaishi ktk vyumba vya kupanga hivyo wanapigwa mumo humo kabla hata hawajafika University. Walau wewe unakimbizana na watoto wa wenzio waliofika vyuo vikuu.
- Hujawahi fika kijijini kwenu tokea umeajiriwa wala kutuma hata hela ya mboga kwa wazazi wako maskini waliopo kijijini lkn una uwezo wa kulisha na kuwahonga vibinti vya mjini hata kwa lifti ya 'vitz'
- Kama wazazi wako ni wastaafu na wapo mjini, wala hupelekagi hata kilo ya unga wa mahindi.
- Kuishi kitapeli mjini ili kuendelea kurubuni innocent ladies without their knowledge.

NB: Taifa lenye vijana wenye mawazo chafu na hovyo kama wewe linahitaji kujipanga upya. Tanzania inakabiliwa na wimbi kubwa na watu hovyo kwa sasa. Ova!
 
Dah mungu ameniokoa tu'kama mwaka ambao ningeathirika ni 2015,nmetembea na wanawake wengi sana ila nashukuru mungu kanipa ishara kwa kuwa demu wangu wa toka 2007 amekuja kupata mimba yang tukiwa chuo mwaka huu,tatizo likawa clinic nahofia kupimwa afya ila nashukuru mungu amenilinda afya njema na clinic tunahudhuria japo majukumu yametukuta wote tupo chuo ila now miezi inakimbia soon atajifungua
 
Kuna kitu cha kufanya nadhani kuiondoa hii dhana ya kila baya kumtupia mwanamke. Huko kujiuza, ananunuliwa na mwanamke mwenzie? Jibu ni HAPANA, ikiwa jibu ni hapana, kwa nini mara nyingi tuwanyooshee vidole sana wao? (Ila na nyinyi wanawake ifike muda mjitambue sasa, maungo na miili yenu sio ya kufunuliwa funuliwa ovyo. Mjielewe!)
upo sahihi mkui wateja wao ni wanaume ilo halina shida sema unakuta mwanamke mmoja kalala na wanaume zaid ya 1000 wengi huwa wanasema kwenye social networks wengine hata live wanasema au inajulikana kabisa ukiwauliza ndugu wanaokuuliza wanakupa jibu la uhakika.
 
Wanajiuza kwa wanaume si ndio eehh okay okay.
inakuuma nini wewe tena wewe ni muuzaji sababu maneno yanaonyesha. ni wanajiuza kwa wanaume ndio ila unakuta mwanamke mmoja katembea na zaid ya wanaume 500 hata 1000 hata kama wanaume ni wanunuaji nyie mnaongoza kwa kulala na wanaume wengi ila mwanaume mmoja hanna huo uwezo wa kulala na wanawake 1000

0
 
wapendwa kuna cha kujifunza hapa.
huu ni ukweli mtupu hata wanawake wa humu JF hawajachangia hii mada sababu wanajua waliyoyafanya. mwenye kujifunza na ajifunze nadhani ni somo tosha hili kwa watakaopitia huu uzi.
 
Na wao wanauza sana...wakiongozwa na presidaa wa kuseli ze lara 1.
 
Wakati unajisifu kwa ngono huenda haya mambo yanakulemea kwa kudrain pesa zako ktk matumizi holela ya ngono:
- unaishi nyumba za kupanga au unaishi 'home' kama ilivyo useless vijana wengi wa mjini! Kula bure kulala bure
- huna hata kiwanja
- wadogo zako wa kike wanasoma shule za kata wakiwa wanaishi ktk vyumba vya kupanga hivyo wanapigwa mumo humo kabla hata hawajafika University. Walau wewe unakimbizana na watoto wa wenzio waliofika vyuo vikuu.
- Hujawahi fika kijijini kwenu tokea umeajiriwa wala kutuma hata hela ya mboga kwa wazazi wako maskini waliopo kijijini lkn una uwezo wa kulisha na kuwahonga vibinti vya mjini hata kwa lifti ya 'vitz'
- Kama wazazi wako ni wastaafu na wapo mjini, wala hupelekagi hata kilo ya unga wa mahindi.
- Kuishi kitapeli mjini ili kuendelea kurubuni innocent ladies without their knowledge.

NB: Taifa lenye vijana wenye mawazo chafu na hovyo kama wewe linahitaji kujipanga upya. Tanzania inakabiliwa na wimbi kubwa na watu hovyo kwa sasa. Ova!
Eti anajisifu [emoji57] [emoji57] [emoji38]
 
Wanajiuza sababu demand is higher than supply. Kama supply ingekuwa higher than demand bac price ingekuwa low.
 
Dah mungu ameniokoa tu'kama mwaka ambao ningeathirika ni 2015,nmetembea na wanawake wengi sana ila nashukuru mungu kanipa ishara kwa kuwa demu wangu wa toka 2007 amekuja kupata mimba yang tukiwa chuo mwaka huu,tatizo likawa clinic nahofia kupimwa afya ila nashukuru mungu amenilinda afya njema na clinic tunahudhuria japo majukumu yametukuta wote tupo chuo ila now miezi inakimbia soon atajifungua
mkuu nipe kisa kilichokukuta nipate funzo vp saiv wajiskiaje?? c unaume umekamilika coz ushatest kila nyama saiv mda wa kulea kimwana wakk tuu au vp mkuu hali?
 
Back
Top Bottom