Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,928
- 32,337
Wanabodi wa Chit-Chat.
Hii imemtokea jamaa yangu alikuwa na mpenzi pale chuo IFM baada ya kutapeliwa sana siku moja akampigia simu huyo binti mazungumzo yalikuwa hivi.
Kijana: Mambo vipi dear hujambo.
Binti: Sijambo.
Kijana: Dear leo tunaweza kuonana jioni ukitoka chuo.
Binti: Hapana sina hata nafasi mchana na kipindi halafu usiku namsindikiza mama mdogo harusini.
Kijana: Poa dear nilikuwa nimekununulia zawadi yako Mlimani City.
Binti: Waau! Baby wangu ahsante nashukuru sana umeninunulia nini sweet.
Kijana: Nimekununulia simu Blackberry Bold 990.
Binti: Jamani Baby wangu Mungu akubariki basi takuja then talala huko huko sawa Sweet wangu.
Kijana: Wewe si umesema unaenda harusini nenda tu tampelekea mdogo wangu.
Binti: Wewe vipi mpuuzi nini usidhani mie na shida sana naomba uifute na namba yangu kuanzia leo unikome.
Kijana: Sawa tafanya hivyo.