baba anjela
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 430
- 310
Serikali ...mnachangia kwa kiasi kikubwa kwa dada zetu wanaosoma vivijini kupata mimba
sababu mazingira yao mliowatengenezea si rafiki kabisa...mtoto anatembea masaa 3 mpaka 4 kutoka nyumbani kwenda shule... Kwa wao kuepuka kutembea muda mrefu inawabidi kusisima barabarani kuomba lifti kwenye malori ya mchanga au mizigo...gari ndogo...
Sasa kwa hali hii unategemea nini???
Mnawanyika elimu ndugu zetu..ila mnatambua kabisa mazingira waliyonayo ya shawishi wao kupata mimba.