Wanafunzi wa tz huko kenya wameswekwa ndani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi wa tz huko kenya wameswekwa ndani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Sep 17, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wan JF,

  Habari nilizo zipata jioni hii,

  Kutoka shule ya Baraton Adventist Secondary Scholl huko kenya ambako kunadaiwa wanafunzi walimpiga mwalimu na waka wekwa ndani na baada wanfunzi wa kenya ndio walio achiwa huru na kubakizwa ndani wanafunzi wawili wa kitanzania.

  Mzazi wa mwanafunzi mmoja wapo alipigiwa simu na Head Master wa shule hio na kutaka atumiwe KSH 50,000/= Ili awasidio kumtoa mwanfunzi huyo. Na leo wako ndani siku ya Pili.

  Mimi hapo ndipo nashindwa elewa ukikamatwa kenya hata kama unakosa dogo utasota sana na ninge penda Barozi zetu nje ya nchi ziwe zinashughurikia haya mambo kweli mwanafunzi anaweza kuswekwa ndani, Shule hazina utaratibu wa kulipoti issue kama hizo kwa Barozi wa TZ inchini Kenya.

  Mpaka sasa wazazi wa kijana huyo mmoja wanashughurikia jinsi ya kumtoa mwanao nje nadhani watakuwa mbioni kuelekea Nairobi.
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,303
  Trophy Points: 280
  Ndio ... mwanafunzi anawezwa kuswekwa ndani kama anafanya uhalifu!!
   
 3. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli iwapo hakuna sababu kubwa ya msingi ni vema mtu ukamsomesha mwanao hapa hapa kwetu.
   
 4. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kwani ukimpiga mtu hapa kwetu siyo kosa, angeweza kuwekwa ndani hata zaidi ya siku mbili hapa kwetu...je ukiwa ugenini itakuwaje maana wanajua unaweza kimbia..
   
 5. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Acha wakae kwanza wajifunze ADABU, Wasilete bad impression ya nchi yetu ugenini..
   
 6. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Mwalimu anadai alipigwa na wanafunzi na waliokamatwa ni wanafunzi wengi cha ajabu waliotolewa ni wakenya wote na wakabaki wa TZ hapo mtasema ni bad impression ipi kama kosa liwe la wote na sio la watanzania peke yao, Kama kunatokea vurugu basi wanafunzi wote mpewe adhabu sawa.

  Mkisha kuwa mataifa mengi kwa shule mmoja lazima tu rawama zitatupiwa kwa wageni na sio wenyeji this isnt reasonable at all! mbaya zaidi ite within EAC.
   
 7. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  the question is, kuna haja ya kupeleka watoto kenya kusoma tena secondary school, where there is no A-level?
   
Loading...