Mwanaasha ni rafiki wa jeesika.jk tena oooook
aliyenacho anaongezewa zaidi.Wote watoto wa kishua..Ingekuwa vijana kutoka sitimbi hapo sawa!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa sie tuaolea watoto wetu kwa kula ugali na ngogwe kupenya hizi anga ni ndoto...
Mbona husemi kama ilikuwa ni event ya waislam!??