Wanafunzi wa Feza waliochukua medali Marekani watua bungeni Dodoma leo

ashrack

Member
Jun 23, 2017
8
8
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto) akiwa kweny picha ya pamoja na washindi wa Medali za Dhahabu katika mashindano ya Kimataifa ya Mazingira na Sayansi yaliyo fanyika hiv karibun nchin Marekani.kushoto ni Mkurugezi wa Shule za feza Mr Ibrahim yunus kulia Mhe Hawa Ghasia anayefata kulia ni Abdulrazak juma Mkamia Abdalah Rubeya na Rashid jakaya kikwete wakiwa ofisin kweke mjini Dodoma
FB_IMG_1498843841717.jpg
FB_IMG_1498843858834.jpg
 
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto) akiwa kweny picha ya pamoja na washindi wa Medali za Dhahabu katika mashindano ya Kimataifa ya Mazingira na Sayansi yaliyo fanyika hiv karibun nchin Marekani.kushoto ni Mkurugezi wa Shule za feza Mr Ibrahim yunus kulia Mhe Hawa Ghasia anayefata kulia ni Abdulrazak juma Mkamia Abdalah Rubeya na Rashid jakaya kikwete wakiwa ofisin kweke mjini DodomaView attachment 533297 View attachment 533298
Halafu hao hao kina Kikwete na Nkamia wanakuhimiza uwapereke wa kwako shule za kata na za MMEM. Watashindana na wamarekani lini ?! Huo usawa wa binaadamu (mTz) uko wapi?!

Cairo's
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom