Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ni taarifa kutoka chuo cha afya muhimbili, MUHAS,
Muda wowote wataandamana kwenda bodi ya mikopo kutokana na kucheleweshewa hela za kujikimu, maarufu kama boom.
Inasemekana kuwa pesa hizo walitakiwa wapewe katikati ya mwezi huu wa sita lakini hadi sasa hakuna kilichofanyika, na hawajuwi ni lini watapewa hela hizo.
Wameendelea kuambiwa kuwa wavumilivu hadi serikali itakapotoa pesa siku ambayo haijulikani.