26 jambazi
Member
- Jun 27, 2016
- 10
- 1
aaaa
Unaongea nini wewe vyuo kadhaa bado havijapokea izo pesa mwenyewe nipo chuo cha uhasibu lakin mpaka leo hakuna kinacho eleweka..watu acheni uongo, uliyepost ni muongo acha kudanganya watu
hivi ktk hali ya kawaida mtu unaweza ukapigwa usijue kuwa umepigwa mpaka aje mtu mwengine akwambie kuwa umepigwa???Spinning doctor wa CHADEMA ndiyo amekuwa wa kwanza kujua kuhusu mgomo!... sawa bwana, ni taasis gani mnaishawishi wagome baada ya MUHAS?