KERO Wanafunzi UDOM hatuna sehemu za kukaa siku ya 6

KERO Wanafunzi UDOM hatuna sehemu za kukaa siku ya 6

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Uongozi wa unalazimisha watu wafanye usajili ndio wapate room na Mfumo wa chuo haufanyi kazi hakuna control number za NHIF wengine malipo hayasomi kwenye mtandao.

Wanafunzi wameshalipia hela ya hostel ila chuo hskitaki kutoa vyumba Tukalale wapi. Ukizingatia tunashindwa kuksmilisha usajili kwa tatizo la mfumo wao wenyewe.

Siku ya 6 leo wanafunzi hawana pakukaa wala pakula na wanatakiwa waingie darasani.


IMG-20261029-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom