Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 7,814
- 10,846
Jiwe kaua elimu ya 6, Haina faida
Sahihi kabisa, nimejaribu kuchunguza madhara ya kuruka hatua katika elimu niliona suala la kukosa reasoning, advance ni sehemu ambayo mtoto hujenga reasoning kwa sababu hutoa wigo wa kujadili na kila mtu hujiona fundi lakini kwenda moja kwa moja diploma inategemeana baadhi ya course vijana wanapoteana kabisa maana hupoteza uwezo wa kuhoji na kujenga hoja... Rejea watumishi wengi haswa walimu wenye diploma uwezo wa kujenga hoja upo chini thinking ipo chini! Kuna siku niliona maamuzi ya mwalimu mkuu mmoja hivi ni kituko Yani unajiuliza katumia Nini kufikiri! Kama mwanao akipata chance ya kwenda advance mpeleke ili akili ikomae then fanya selection nzuri ya course ya kusoma chuo utaona majibu yakeAdvance ni kwenda kukua na kama hujielewi unaenda kupotea. Advance inahitaji determination, Chuo cha kati ni kwenda kupata uhuru katika umri mdogo ila kinataka uwe unatambua career path inahitaji nini haswa.
Aidha, chuo cha kati kinajenga watendaji wa kiwango cha kati waliokomaa. Kwa mtoto atakayeelemewa kwa uhuru wa bila kuchungwa atageuka kuwa mzimu wa kolelo.
Hongeraa sanaa.Thanks ..nashukuru nipo na diploma yangu ya miamba(geology) nipo vijijini nasaidia wachimbaji wadogo kutatua changamoto zao...
na mimba juu wakampachika,. Yeye akawa analea shahawa za mwanaume mwenzie, km sio ukhanithi nn??Nakuchukia sana ila hapa kwa nikkki wa pili umenichekesha daaaah mama zuri mameneja wanamsugua tu daaah
We Countrywide ulitia fora kwakweli na kumsifia kote huko daaaaah aseee
Sema amejifunza aache kuanika anika wachumba zake wahuni tunakojoa tunasepa
wee jua hivyooHapana dada cocastic,labda kama Kliniko ofisa
Lakini kwenye uhandisi na mwenye FTC/Diploma ya DIT au MUST/ATC, siwezi kuamini au labda mitaala ya chuo kikuu ya kibongo ni magumashi kwenye engineering
Unasomea nini?
Nenda advanceNina B
kwanini?Nenda advance
Kwanza sema unasoma kozi gani, tuichakachuewee jua hivyoo
Ingawa una hoja lakini mfano wako unaweza kuwa irrelevant hapa.Sahihi kabisa, nimejaribu kuchunguza madhara ya kuruka hatua katika elimu niliona suala la kukosa reasoning, advance ni sehemu ambayo mtoto hujenga reasoning kwa sababu hutoa wigo wa kujadili na kila mtu hujiona fundi lakini kwenda moja kwa moja diploma inategemeana baadhi ya course vijana wanapoteana kabisa maana hupoteza uwezo wa kuhoji na kujenga hoja... Rejea watumishi wengi haswa walimu wenye diploma uwezo wa kujenga hoja upo chini thinking ipo chini! Kuna siku niliona maamuzi ya mwalimu mkuu mmoja hivi ni kituko Yani unajiuliza katumia Nini kufikiri! Kama mwanao akipata chance ya kwenda advance mpeleke ili akili ikomae then fanya selection nzuri ya course ya kusoma chuo utaona majibu yake
Kwani maprofesa wa kibongo wana maaumuzi gani ya maana .Sahihi kabisa, nimejaribu kuchunguza madhara ya kuruka hatua katika elimu niliona suala la kukosa reasoning, advance ni sehemu ambayo mtoto hujenga reasoning kwa sababu hutoa wigo wa kujadili na kila mtu hujiona fundi lakini kwenda moja kwa moja diploma inategemeana baadhi ya course vijana wanapoteana kabisa maana hupoteza uwezo wa kuhoji na kujenga hoja... Rejea watumishi wengi haswa walimu wenye diploma uwezo wa kujenga hoja upo chini thinking ipo chini! Kuna siku niliona maamuzi ya mwalimu mkuu mmoja hivi ni kituko Yani unajiuliza katumia Nini kufikiri! Kama mwanao akipata chance ya kwenda advance mpeleke ili akili ikomae then fanya selection nzuri ya course ya kusoma chuo utaona majibu yake
tupo nao hukuu yaan utadhan huko diploma walisoma vingine, yaan wapo km wapyaaa, tupo sawa tyuuh.Kwanza sema unasoma kozi gani, tuichakachue
Kwahiyo,ukimaliza hiyo degree yako ya uhandisi huko UDSM, zaidi ya kujibu maswali magumu yasiyo na umuhimu wowote na hautayakuta kwenye kazi, unataka kusema unatoka huku unajua kutumia hizo CAD software,MINITAB,na MATLAB?,kuzidi yule aliyezitumia tokea diploma ya uhandisi na kundelea nazo chuo?
Ao ni vilaza walikuwa hawasomitupo nao hukuu yaan utadhan huko diploma walisoma vingine, yaan wapo km wapyaaa, tupo sawa tyuuh.
Mdanganye mwenzakoHizi hoja ni za walioshindwa msuli wa PCM/PGM.
Mnapenda sana kujifarijii, lol
Unaijua dip.mkuu au tunasumbuana na vitoto vya f4Njia fupi kivipi wakati Diploma ni miaka 3 na Chuo miaka 3 au zaidi. Huoni aliyeenda Advance ana njia fupi kwa kupungua mwaka mmoja zaidi?
Advance hasomi masters mkuu anasoma post graduate masters anasoma mwenye first degreeUkiwa na Advanced huendi undergraduate Bali unaenda Masters.
Ukiwa na Ordinary Diploma au FTC unaenda Bachelor
Siku hizi hakuna advanced diplomaUkipata advanced diploma na ukafaulu vizuri unaenda chuo kikuu, umeshakwepa A level.
Nakataa point yako mkuu haina nyama ya kumshawish mtu aelewe umuhimu wa kwenda Advance levelWengi wanaogopa ugumu na kuwa na tamaa ya kupata hela mapema
Lakin niwashauri hawa madogo advance inaheshima zake na pia kwenye maisha amini hakuna shortcut
Ukileta shortcut lazima kuna sehemu utakwama
Na sahv life lilivyo unaweza kukwepa advance ili ukwepe ugumu na uwah kupata pesa lakin hvyo vyote ukavikosa,magumu utayapitia tu na pesa utachelewa kuipata vile vile