Wanafunzi kidato cha sita waliochaguliwa kwenda "JKT" mwezi May 2017 (Mujibu wa Sheria)

Msaada jamani, hivi majina ya waliomaliza form six mwaka huu wanaotakiwa kwenda JKT tunayapataje?
 
Nendeni mkajile madogo... ndio ukakamavu huo ila poleni cku hizi hampewi pitshort mnaambiwa muende nazo au hizo ni za muda tu? Maana kipindi chetu tuliambiwa track suit na raba tu hayo mengine tuliyakuta hukohuko
 
DUH KWELI MAMBO YANABADILIKA..YAANI NDO WAMEAMBIWA WAENDE NA VITU VYOTE HIVYO??? MPAKA BUKTA NA MASHUKA???
NAULI ZA KWENDA NA KURUDIA ????
MBONA MIAKA ILIYOPITA HAIKUWA HIVI???
NAULI ZA KWENDA NA KURUDI TURIRUDISHI ZOTE
SIDHAN HATA POSHO WATAKUWA WANAPEWA HAWA
 
Poleni sana, serikali ya magu hii, hakuna cha kurudishiwa au kupewa nauli, vitu vingi no vya kwenda navyo. Sisi tulifaidi kidogo wakati wetu.
 
KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KWENDA JKT MAY 2017 KUANZIA TAREHE 25-30 MAY
 

Attachments

  • MUJIBU17-10.pdf
    1.2 MB · Views: 372
Mangurutu wa saiv hawana posho pole yao bora hata wasiende yaani mtu uende na mahitaji yote hayo!! Na walivosisitiza hiyo nauli ya kwendea na kurudi majumbani,daa pamoja na kupunguza idadi ila wamewajazia mahitaji na ela ilivokua adimu saivi kweli msimu huu tumepatikana bora enzi za JK tulii enjoy wakati wa kuhitimu mafunzo tulisahau shuruba zote tulizopata [HASHTAG]#842kj[/HASHTAG].Wadogo kunyweni maji mengi moyo uelee mana uzalendo wa saivi sio wa kispot spot.
 
DUH KWELI MAMBO YANABADILIKA..YAANI NDO WAMEAMBIWA WAENDE NA VITU VYOTE HIVYO??? MPAKA BUKTA NA MASHUKA???
NAULI ZA KWENDA NA KURUDIA ????
MBONA MIAKA ILIYOPITA HAIKUWA HIVI???
NAULI ZA KWENDA NA KURUDI TURIRUDISHI ZOTE
SIDHAN HATA POSHO WATAKUWA WANAPEWA HAWA
Si ndo apo bora hata wasiende hata mdogo angu si mshauri aende kabisa.
 
Back
Top Bottom