Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Umeona eeh!mkuu wa shule wa sasa yule mama ni sista duu mpk kwa watoto yaani yuko busy na mambo yake anawachukulia advance kama watu wazima hawakatazi chochote kile...kwa kweli bora yule mama wampeleke kungine pale aje mwingine ila pale hapamfai kwa sasa...

Wanafunzi mda wote wako mjini wanarudi mda wanaotaka wao...!!hapana kwa kweli!
 
Kweli kabisaa vile kuwazomea inawaumiza sana kisaikolojia...mbona Azania hawakua wanawazomea!


Sio ndio hicho cha kushangaza sasa!

Kwa nini wao ndio waonekane ku fail sasa?

Wamekosea sawa, waonywe sawa, lakini sio kwa hivi.
 
Kufeli kwa jangwani ni uzembe wa mkuu wa shule aliwaachia sana advance pale hostel watoto wanaishi kama wako university! Mpaka wajiuliza wanatoka mda wote,wanashika simu muda wote,simu hawakatazwi yaani tafrani tupu!
Mbona sjule ya kwanza kitaifa kibaha,,naskia wanatoka muda wowote,, sim kama kawa,,, yan wako free mno
 
Na kingine. Naona walimu wa nidhamu ni wa ovyo..matron nae atakua waovyo..nakumbuka enzi zile kulikua na matron huyo eti uage kwenda mjini aruhusu kizembezembe subutuuu...na akikupa ruhusa akisema mda flani uwe hapa alikua anaongea kwa kumaanisha

Ukija upande wa nidhamu nako motoo hakuna kufanya ujinga ujinga

Siku hizi sasa...ovyooo kabisa
 
Mbona sjule ya kwanza kitaifa kibaha,,naskia wanatoka muda wowote,, sim kama kawa,,, yan wako free mno
Tofautisha kibaha na jangwani!halafu kibaha wanaenda best students
 
Ninayo sema jinsi ya kupost hapa ni tatizo. Pia for the sake of issues siwezi post hapa
Point of Correction Ni ya Kwanza Kiwilaya.
Ilala ni ya kwanza..
Kuna shule ngapi?
Still tuwapongeze
 
Watu wengi hawajaligundua.. Na wasichojua ni kwamba
Hao waliofeli wengi wao wanaishi ndani ya Shule kuna Hostel
O level wanaotokea majumbani ambao wengi hayawahusu Ndo wanaface the Consequences!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…