Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Watu hata waziri anaongea tu, ile shule nyingi za serikali za Dar zote ni kama za kata tu kutokana na aina ya wanafunzi wanaowapokea, hakuna mchanganyiko kama shule za Ilboru, wanafunzi wote ni wale wanaotoka magomeni na mwananyamala uswahilini
 
Tatizo limechukuliwa kisiasa zaidi; na unapotatua tatizo basi tatua kwa nchi nzima; kifupi walimu wa shule za umma wanafanya kazi katika mazingira magumu sana - posho kiduchu. Lipeni pesa watu wapige kazi mambo ya kujitolea hayapo kwani na sisi walimu tuna watoto tunasomesha na wana mahitaji pia kama ya watoto wenu.
 
Watu hata waziri anaongea tu, ile shule nyingi za serikali za Dar zote ni kama za kata tu kutokana na aina ya wanafunzi wanaowapokea, hakuna mchanganyiko kama shule za Ilboru, wanafunzi wote ni wale wanaotoka magomeni na mwananyamala uswahilini
Aiseee.Sijakuelewa.
Sikia
Form 5 wa Jangwani wanatoka mikoa mbalimbali.
Labda wale wa 0 level.
 
Si kuona wakilisema hili.
Yaani.Hili ndo tatizo.Bila kuliangalia kwa jicho la 7 sijui
 
Pole sana Jangwani haiko hata top twenty ya mock ya Mkoa kipato cha 4 kwa 2018. Ya kwanza ni Bright Future Girls Secondary School ikifuatiwa na Canossa. Ngoja nivae miwani niangalie vizuri hii list ya top 20 schools DSM
 
Halafu kutwa uko busy kumlaumu Magufuli anavyoendesha nchi wakati nchi imejaa mijitu ya hovyo kama wewe!
Tulia wewe,usinipangie maisha binafsi. Huyo Magufuli akianika maisha yake binafsi utadata. Achana na mastori ya waziri wa kike
 
wakifanya vyema " wasifiwe"",wakiboronga" wazomewe"", tu " hakuna_" namna"" Kama wanaakili" wataichukulia" hiyo Hali " Kama" changamoto" inayowakumbusha"" kufanya vyema"" ...
kuzomewa"" wanazomewaga"" kina" cr7 na messi. wanapofanyaga" vista"" wao waachwe"" wamekuwa" kina Nani""?""' nasema hiviiiiii"" wazomewe" tu... Hakuna mamna""
 
Pole sana Jangwani haiko hata top twenty ya mock ya Mkoa kipato cha 4 kwa 2018. Ya kwanza ni Bright Future Girls Secondary School ikifuatiwa na Canossa. Ngoja nivae miwani niangalie vizuri hii list ya top 20 schools DSM
Leta
 
Taifa linapotea hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…