gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
- Thread starter
-
- #101
Saint ivuga:Ukimsalimia msichana akikunyamazie mara tatu.
Utarudia tena?
Mimi msichana akisema hanitaki badi nalala mbele
Jamani jamani sio woteWaache umalaya!
UMALAYA UTAWASUMBUA SANA WANAFUNZI WA JANGWANI!
Hapana.Hio ni chuki sasa kwa Baba Kaegan.Toka apewe “mkoa wake” shule zinaongoza kwa kufeli kila mwaka
Nakwambia unaweza usishangae tena ukiona wanavyozomea.yaani boda boda.
Nao wanawacheka waliofeli?
wakati wao hata la saba wengine hawajafika
Na syo boda boda wote walikimbia shule vile vileNakwambia unaweza usishangae tena ukiona wanavyozomea.
Wao wanaona sifaa wkt wengine walikimbia shule makusudi na hata la saba hawajafika.
Kabisa.Hili jambo ni hatari.Ni ujinga kuwazomea wanafunzi ambao hawakuufanya Mtihani husika
Waende nyumbaniKabisa.Hili jambo ni hatari.
Kuna baadhi ya wanafunzi jana walikutwa wamekaa mahali ili giza liingie ndo waende shuleni.
Ni hatari sana.Na inahuzunisha
Halafu kina wazazi hapa wanafurahia
Ndo mana nimegundua Jf sas wengi sio.wazazi kama nilivyokuwa nawaza.Nilidhani watoto wengi wapo Fb.Kumbe wameivamia Jf.
Unawaza Great thinker afanye haya??
Atukane Ovyo??.
Hapana jamani.
Ni kweli.Baadhi yao)wengi wao)Na syo boda boda wote walikimbia shule vile vile
Form six baadhi yao wamefika 18Saint ivuga:
Angalia na umri.
Watoto wa shule wana utamu gani???
Uuuuuuuwiiii!!!! Mamaaaaa!Wanazomewa kwa matokeo ya wai ya NECTA wewe unataka tuwafariji kwa matokeo ya siri ya Mock are u mentally fit. hao wazomewe tu walimu waonje chungu ya uhamisho wanafunzi wazomewe hadi waache kutumia Brazilian hair
Ndo iwe halali kwa kitoeo?Form six baadhi yao wamefika 18
Inna kasoma jangwani pia mkuu![emoji53][emoji53][emoji53]Waache umalaya.
Hivi kidoti nae kasoma jangwani?
Ndo nani ?Inna kasoma jangwani pia mkuu![emoji53][emoji53][emoji53]
Niambie kwanza hapa JF huwa unamtamani nani!Ndo nani ?
mkuu Acha tu wanaozomea nao ni shida tuWatanzania ni watu wa ajabu sana!