Wanafunzi Jangwani wanavyozomewa sio sawa

Na wazomewe tuuu baada ya kusoma vyenyewe vnashinda insta yaan hiki kizazi mungu saidia aseee
 
Hao wanaowazomea hawakufika hata form 1, ujinga wao na kufuata mkumbo tuu. Tukemee udhalilishaji huu
 
waweza niambia umemaliza jite mwaka gan kama hutojali
 
Wahuni wanafanya Na nani uhuni.Wanaume wavulana..Muache kuwafuatafuata Na vilift vyenu

Mimi lifti yangu mpaka nikufahamu au nikujue... zaidi ya hapo hapana...

Unajua inakuaje, wanajikuta wanamekutana wanafunzi kutoka shule mbali mbali waliyochaguliwa kujiunga na Jangwani...
Tabia zao zinakua tofauti tofauti, sasa wale waliotoka na tabia za ujanja ujanja wa kihuni kwingine hutumbukiza wenzao kwenye uhuni...

Wengi hata hawafuatwi fuatwi, wao ndiyo hufuata fuata, kujichelewesha vituoni bila sababu... kupenda lifti za watu wasiyowajua...


Cc: mahondaw
 
Kule kwetu uswahilini ulikuwa ukiwa kikojozi lazima upigiwe ule wimbo wa kindumbwe ndumbwe. Dhana ilikuwa ni kukufanya uache tabia ya kukojolea kitandani. Na ilisaidia sana.
Hao wazomewe tu hadi yatakapotoka matokeo mengine tujue kuwa wameacha uzwazwa. Wazee wao tunajitahidi sana kuwafanyia vitu vizuri na wema lakini wanajiona wanajua na wajeuri kisa bolo na kujifanya wa mjini. Sehemu nyingine huko vijijini, Msichana anatembea umbali mrefu kuifuata shule na kukumbana na vishawishi vingi na hana tution lkn bado anapata angalau div 3. Njoo sasa hao wa mjini, beg kubwa la tution siku za wkend, kaweka kanga na dela, akitoka kipindi kimoja anapitia kwa bwana anarudi nymbani saa 2 usiku.
Mamaeeeeee, zomea hao!!!!!!!!!
 
Mkuu ni kweli kufail si kitu cha ajabu, tatizo sababu zinazokufanya ufeli. Hao watoto tution wao. Hawana sababu coz dar upatikanaji wa elimu ni rahisi kuliko baadhi ya mikoa. Hao wanafail coz ujuha wa ujana wameuweka mbele sana. Changamoto wanazopata wa mikoa mingine wao hawana.
 
Nje ya Mada: Yule mtoto wa Kitwana Kondo ambaye mzee Ruksa alijitwalia hivi si alikuwa anasoma Jangwani eeee!!!!
 
Kuwakosoa ni sawa ila hayo mengine ni kuwaharibu kisaikolojia na hii itawafanya hata wanaosoma hapo sasa kupoteza munkari/morali ya kusoma so mnaweza pata matokeo mengine mabovu tena mwakani simoly kwa sababu hiyo shule mumeiwekea picha mbaya.
 
Acha Wazomewe tu Ili Wapate Mizuka Ya Kusoma Wafaulu Vizuri!Halafu Mtihani wa Mock Kitu Gani Bwana!Hiyo Mitihani Haina Inshu Siku Izi Zaidi Ya Kupiga Hela Tu Ya Mitihani Hiyo!Kitu NECTA kubwa la Maadaui!
 
 
Suala ni kuwa hawa watoto wanakutana na changamoto nyingi za kumaadili. Kuna wanafunzi wa Muhas, wafanyakazi wa mall, azaboy, Mara DIT Tambaza halafu kuna zile hostel maeneo ya jangwani hapo. Bado zile ibada zao za pamoja na boys. Then. Hao advance ni wakubwa wanavutia hadi wafanyakazi vijana mabazazi.
Pia maadili pale shuleni so makali sana nilihudhuria graduu 2014 niliona kitu amabcho sikukitegemea ktk shule kama ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…