Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Kuhamishia msala kwa walimu ni LAZIMA.Na hatujafikia level ya Serikali ku take over everything. Maana ingekuwa hivyo at least watu wangeweza kuwa na hope kuwa pengine Serikali ingeweza kuongeza nguvu ili kutatua tatizo.
Kuhamisha Walimu sidhani ni concrete solution.
Kweli eeh???!!!Wacha wazomewe malaya sana
Mzee "alijitwalia" hadi watoto wa Jangwani walikuwa wanamwita ShemejiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiHabari mpya kwangu.Ilikuwa je?
Haswaa kwani unaona sawa mtoto wako akifeliTrue??
Haswaa kwani unaona sawa mtoto wako akifeliTrue??
Zote zinapewa kipaumbele.Husikii sana kwa kuwa sio MaarufuTrue, kwa kweli. Hizo Kantalamba na Togwi..something you can tell hazipewi umuhimu wowote?!, as if they're not part of Tanzania.
It's Not Fair.
Jamaniiii.Hizi FixNdio.
Pia waziri wa madini
Kabisa .Niliona mpaka wanaliaKimsingi hao watoto wanahitaji counciling ya kutosha..... tukiruhusu hali hii iendelee matokeo yatakuwa mabaya zaidi.
Unajua kwenye Mitihani Kuna A cream n A majimaji.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naomba uniambie Best wa Jangwani anaenda na alama ngapi form I na best wa Mzumbe,Ilboru,Kibaha and Co anaenda kwa alama ngapi form I?
Aiseee.Kuna kitu umekiandika hapa kimenigusa Ku MoyoNdo shida ya wanafunzi wa kileo,hawataj kusoma,wanapenda kuvaa uniforms,wanapenda kuitwa wanafunzi.Wanapenda posho wanazopewa nyumbani.
Nna mifano ya watoto wanaoishia mitaani kubeti na kufanya uhuni mwingine.Lakini mwalimu wa leo hawez kuhangaika na mtoto.
Mtoto wa kumuhangaikia ni wa Primary.
Mkorosho upeo wako ni mpana sana .Nalendwa suala la watoto wa shule kutomiliki simu si kwamba shule haliruhusiwi bali hata wizara hairuhusu.
Hao watoto wakat wana join waliambiwa "Lazima ilikuwa hivyo" kwamba simu haziruhusiwi.
Siamini kama hawajui.
Umemwambia,umemwambia na kumwambia lakini hajali.
Unajua mwalimu anachokifanya?
"Anawapotezea" sasa wao watajiona WAJANJA kumbr ndo wanaangamia.
Ni sawa na mgonjwa wa kisukari,dokta atampa miongozo na masharti lakini mgonjwa mbishi,kila siku anamwambia bado hafati masharti,
Kitakachofata ni athari kwa mgonjwa sio DOKTA.
We jamaa kiboko .Dar shule zinafaulisha.
Ila zinazofaulisha ni za Binafsi.
Rate ya watoto kufeli imekuwa kubwa sana kwa sasa.
Na ni public schools ndiko wanakofeli.
Hata kuwe na mbinu watoto watafeli kwa sababu moja tu HAWASOMI.
Na life styles zao zinawaangamiza.
A creamNi za mkoa ila alama za kuingia Jangwani ni sawa na hizo BEST.
Kabisa.Watoto Badala ya kuwa darasani wanacheza Bado Chooni.Watoto hawasomi.
Watoto hawahudhurii masomo.Watoto wanafundishwa.
Tobaaaaaa.Nimemsikia mratibu wa elimu kata analalamika amepita maporini amekuta watoto wana sufuria huko maporini wanapika.
Mabegi yanekutwa na BISIBISI,kondomz na lundo la nguo za nyumbani.
Hao ni watoto wa DAR
FactHuwez fanya mbinu za ufundi kwa mwanafunzi asiyesoma.
Impossible.
Utakuwa mwalimu sio kwa Nondo hiziKosa la wale wanaowapangia shule kwenda form I.
Lakini kuna shule kama Manzese,Mugabe na Mburahati watoto wanaosoma hizo shule hawatoki mbali sana na wanapoishi.
Ila ni shule ambazo zina watoto "Vichaa sana" sasa nakushauri fatilia matokeo yao mwakani.
Kingine ni kwamba hizo shule wanafunzi wapo wengi sana.Kuna mwalimu anafundisha wanafunzi 500.
Hivi nwl mwenye load hiyo ataweza toa assignment?
Haaa haaaaaJamani bado hamjaelewa?
Pale Jangwani watu wana "watoto zao".
"Wameumia"
Uwiiiiiiiiiiii!Inaonesha walikuwa mabikra hadi form four wakaonja kamchezo walipomaliza form four. Mabinti utawatambua wameanza kujihusisha na mapenzi lini kwa kuangalia performance yao inapodrop! Mtoto akipata div one form four na kupata div four form six jua wajanja walimpitia na hata akiwa Chuoni akapata GPA let say 4 mwaka wa kwanza, wapili makarai unajua