gracemwakilasa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2018
- 538
- 1,289
Tangu Matokeo ya Kidato cha sita yatangazwe na Jangwani Kufanya Vibaya.
Na vyombo vya habari kwenda na kuhoji wanafunzi mbalibali na Walimu takribani 39 kuhamishwa.
Imebainika ya kwamba,sasa wanafunzi hao kila wapitapo na sketi zao za Rangi ya Chungwa .Wanaonja chungu ya Zomeazomea mitaani ..
Hi imetokea baadhi ya mitaa ya Kariakoo na Kimara na kwingineko.
Vijana hasa wa Bodaboda wanazomea wakisema.
Haooooo mmefeli kwa jili ya uhuni..n.k
Jamani .
Jamii lazima kwa pamoja tukemee suala hili.
Kwani pamoja na Kufeli kwao kusababishwa na Mambo mbalimbali.
Lakini hatupaswi kuachia hali hii kuendelea Kwani tutasababisha Msongo kwa wasichana hawa na kujisikia wanyonge..
Cha ajabu.Waliofeli wapo majumbani wametulia. Na wasichojua ni kwamba Mork ya Form 4 iliyofanyika hivi karibuni.Jangwani Imeshika no.1 kimkoa.
Kwa hiyo sio kwamba kufeli kwa form 6,wa hapo shule lawama na kejeri wapewe wanafunzi wote.
Jamii isaidie kukemea wale wote watakaonekana wakiwakosesha Raha wanafunzi hawa.
Binafsi nilifanikiwa kukutana na baadhi ya wanafunzi wa hapo na wakanielezea madhira wanayokutana nayo kwa sasa baada ya kutangazwa kwenye vyombo vya habari Na wengine wanajisikia Soni kivaa sketi hizo(Rangi ya chungwa)
Cha ajabu waandishi wa habari mazuri ya Jangwani hawayavumishiii Bali wanavumisha mabaya.
Ikumbukwe mwaka 2016,Azania Shule jirani na Jamgwani ya Boys ilishika mkia matokeo ya form 6 ikapelekea Mkuu wa shule kushushwa cheo na wengine kuhamishwa kama ilivyotokea kwa Jangwani..
Lakini mwaka huu Azania kimkoa (Dar)imeshika no.1 hatujaona waandishi wa Habari au viongozi wakipongeza.Na kuna watu wengi wakijua sifa ya Zamani kwamba Azania ni ya Kufeli tu kwa sasa.
Cha kujifunza hapa ni kwamba Watu wanaweza wakafanya makosa Leo wakajifunza au kujirekebisha kesho.
Mfano.Walimu wamehamishwa Jangwani kwa kuwa form 6,wamefeli
Lakini ni Walimu haohao walioiwezesha Jangwani kushika nafasi ya 1 kimkoa kwa Morck kwa form 4(kumbuka Morck ni kipimo kizuri kwa matokeo ya Kitaifa)
Watanzania Tukemee tabia mbaya inayomea miongoni mwetu Na tupende kupongeza pale tunapoona Wenzetu wamefanya vyema.
Tukosoe kwa nia ya kurekebisha Na Si kwa lengo la Kunyanyasa Na kudhalilisha.
(Character assassination) Ni mbaya sana kwenye jamii hupelekea hata watu kujinyonga.
Let us Change our Mentality for our Better Generation.
Changes begins with you.!!