Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,752
- 7,245
Nafahamu vizuri kiongozi... na huko vilaza wamejaa. Wana mtihani wao wanaufanyaga December ni shida! Mpaka wengine wananunua mitihani ya NABE. Wenyewe wanaita NABE maana wako chini ya TCU na hakunaga anayefaulu matokeo yake wengi wanarudi kitaa au wanakuwa seremala, washonaji au wachomeleaji Vyuma... sasa mtu alishindwa Physics na hesabu eti akasome fani ya umene VETA aajiriwe tanesco. Kumbuka hiyo fani ya UMEME imejaa Physics na hesabu tu πππVETA ndio pagumu zaidi kuliko secondary hipo hivi kule kuna masomo saba
English
Life skills
Marth
Engineering science
Entrepreneurship
Computer
Technical Drawing
Hayo masomo hukifahuru yote una enda level 3 ukifahuru tena una enda diploma haya masomo ni kama yale ya science ya secondary utacho ambulia ni ujuzi tu labda ujitambue ujitume hili uwende mbali zaidi
Mimi nani nipinge? Msomi wa TZ hatakiwi kutamba kwa lolote mbele ya asiyesoma kwa sababu hana impact in real sense kwa jamii na maendeleo ya jamii kiuchumi, kiteknolojia n.k!Hawa wanafynzi wa vyuo asilimia kubwa wanafaulu kwa kukariri, utaskia wanajifu
"Elimu ya udsm ngumu Sana"
Kumbe eimu yenyewe ya kujazia notes,vitini na vitabu kibao, practice&skills Ni sifuri
Certificate ya ualimu hawachukui div 4 siku hiziCertificate ya ualimu ilee, hivi jeshi na magereza vigezo vya kujiunga ni div ngapi
Wewe sio Mungu wapo watu walifeli na bado maisha yamewapiga mbaya mbovu. Ni nani amesema kuwa watu wote wanaosoma wanaajiriwa?Kwa hio wa Div 1 watakuja kuajiriwa na nani? Serikali? Huwa hatutakua kuukubali ukweli kwamba kwa sasa nyakati zimechange sana, mtaani kuna Graduate wasio kuwa na idadi, hizi mentality za kukariri kwamba ufaulu mzuri ni tiketi ya maisha mazuri ni za kizamani sana, Time will tell
Mboe ndio naniMboe alizungusha Ila Leo analamba asali
Nafikiri HUENDA mamlaka ikawa inaharibu elimu kwa makusudi ili wananchi waendelee kuwa wajinga na watawalike kwa urahisi.Hii oitu nmeipigia Sana kelele Basi TU[emoji26]
Hao walikuwa wana nyanduana asee π€£π€£Yaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aiseeView attachment 2499069View attachment 2499070
Ni makasiriko tu.Comment fupi na rahisi ila yenye maana kubwa! Wote wanaowatetea hao waliofeli usikute walifeli pia ila wanajikweza tu humu
Wachaga, Wahaya na Wahindi ni wajanja wajanja tu... wanajulikana. Ukikuta majinga yanasifia haya makabila eti yana mafanikio sana! Nyie nyie πππππΎMboe alizungusha Ila Leo analamba asali
Its very trueLakin Div 1 wengi wana posibility ya kutoboa wakichakata karata zao vzr huko mbele....
Hata wanaweza kwenda nje na kupokelewa
Kila nchi kuna wanaofeli acheni ujingaHalafu utakuta walikuwa wanapigwa fimbo kila siku badala ya kujua changamoto zinazowakabili na kwanini hawaelewi
Ni mjinga tu atakaefurahia haya ila kuna tatizo kwenye mfumo wote wa Elimu
Yaani hawajui kufundisha na waliofaulu wamekariri tu kila kitu
Ondoa WAHAYA kwenye hiyo listWachaga, Wahaya na Wahindi ni wajanja wajanja tu... wanajulikana. Ukikuta majinga yanasifia haya makabila eti yana mafanikio sana! Nyie nyie πππππΎ
Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Nimecheka kama chizi vileKwahiyo mwenye "D" zote na "C" mbili atleast akapata division 4 ya point 26 ambayo anaweza kwenda chuo au kusoma kidato cha tano (5) huku ana-reseat ni sawa na wenye "F" zote?! π³ we vipi?!
Division 0 maana yake ni Failure!.. ni kama la saba tu wala haesabiki kwenye kundi la waliosoma sekondari. (Huyu kapoteza muda tu..., yaan alienda kukua,kujifunza uhuni wa kijinga, kupata mademu, mabwana na kupata washkaji na kuvuta bange basi!)
Division 4 hana ufaulu wa kwenda kidato cha tano ila anaweza kusoma mambo mengine au kurudia shule na akafanya vizuri.
Kwani verification badge inatolewa kwa div 1 tuAnazungumzia Scholarship...! Kwahiyo una Verification badge ila mambo kama haya huyajui na huyaelewi pia?! ππ€π€π€
POLE SANA! Umekula?!Kwani verification badge inatolewa kwa div 1 tu
Hio badge inahusiana Nini na kuelewa maswala ya scholarship ..kutokujua kitu Ni kwamba huna kazi nacho , eg Mimi Hadi namaliza elimu yangu ya chuo kikuu sijui chchte kuhusu mikopo inayotolewa na serikali sijui namna ya kuomba Wala sijawahi taka fahamu posho yao per day huwa nilikuwa nasikia wakisema huyu ana asilimia 80 ila sielewi je inamaana me sikuwa mwanafunzi?
Comment zako hazina hoja wewe Ni wale mabingwa wa ku cremu mijadala Kama hi ndo tunaona namna mpo vichwa wazi
Cheki hili nalo kuna diamond wangapi bongo kwani acha kuwa na ndoto za abunuasi hao wote watenda kupambana ila hamna atakayemfikia mondi sababu kila mtu ana njia ya kutoboa kimaisha mfano elimu labda ndo ilikuwa njia ya 74% ya hao 0 material ila wakaipuuuuza ndo tunakuja kupata malaya,shoga na masikini juu Mimi nina mfano hai wa ndugu aliyepuuzia elimu akajikuta mondi saizi ni lalahoi kama maharage ya juziKwan Diamond ana division ngap
Asante huyu jamaa anaropokaa anadhania kila kilaza ni mondi wa keshoo ohooooUsiingize Ujinga kwenye Discussion zenye mantiki. Huyo Diamond wako ana secret zake zilizomfanya afike pale... usipende kudanganyika na kuhadaika na mafanikio ya watu usiowajua kiundani. Fikiri kama mwanaume mwenye akili timamu. Shauri yako!
Wachaga, Wahaya na Wahindi ni wajanja wajanja tu... wanajulikana. Ukikuta majinga yanasifia haya makabila eti yana mafanikio sana! Nyie nyie πππππΎ
Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Acha uongo ww joined 29 October 2022 ulikuwa day au boarding hii simu uliipataje wakati ulikuwa shule bado πMm nmepata div four ya 30 nishaurin jmn naweza soma ishu gani hata certificate ndo nmepata matokeo leo