Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,636
- 18,520
Ni maoni yangu unipangiiiiiiiiii wala sikupangiiiii you bloodklaaat.Divisheni ziro iko TANZANIA tu! Acheni story za vijiweni ni nchi gani ingine ina divisheni ziro?!
Na ni Rais gani huyo alipata divisheni ziro?! Mnapandikizwa chuki tu mnaingia LINE kiurahisi... urais ni taasis kubwa ndugu yangu acha kabisa!
Hiyo taifa mbona ni gharikaMbona hizo zimejotahidi hivyo
Kuna shula inaitwa TAIFA na JAMUHURI
ukipata wasaa kaangalie matokeo yao F zinapiga 450+
Haya bana πNi maoni yangu unipangiiiiiiiiii wala sikupangiiiii you bloodklaaat.
Kabisaa. Kuna mtu unakutana naye kwenye harakati, akakusimulia kiwango chake cha elimu hadi unamuuliza 'Na hapa unafanyaje sasa?' kwa nini uko hapa? π’Na wengi wao hao wenye 1 na majoni kisomo uraiani wanahangaika kwerikweri
Ova
Mmm.Mm sikubaliani na hapo Na. 6. Labda iwe biashara ya kubangaiza i.e. kuuza vitumbua, maandazi, karanga au kutembeza ndizi na zabibu kando ya barabara.(i) Division 4 ni 0 pia
1. Hao ndo madada poa
2. Ndo wadangaji
3. Ndo machinga
4. Ndo boda boda
5. Ndo wapiga debe
6. Ndo wafanya biashara
Kuna Boda Wana diploma..Division 4 ni 0 pia
Hao ndo madada poa
Ndo wadangaji
Ndo machinga
Ndo boda boda
Ndo wapiga debe
Ndo wafanya biashara
Mboe alipataga Ziro hata February piaHata aliyepata 4 ana utofauti gani na 0? Aaaaah
Ulaya gani wanaosoma masomo mawili kuanzia kindergarten hadi form 6??Masomo mengi sana inabidi toka darasa lq kwanza mpaka form six masomo yawe mawili tu kama ulaya
Kutoboa kwenye Ajira? Mkuu nyakati zimebadilika sana na hatutaki kuukubali ukweli,Lakin Div 1 wengi wana posibility ya kutoboa wakichakata karata zao vzr huko mbele....
Hata wanaweza kwenda nje na kupokelewa
Kwa hio nje wanapokea Div 1Lakin Div 1 wengi wana posibility ya kutoboa wakichakata karata zao vzr huko mbele....
Hata wanaweza kwenda nje na kupokelewa
Anarudia Shule ili iweje? Aje kuajuriwa? Nyakati zimebadilika sanaNa ana advantage ya Kusoma vyuo au akarudia shule na akafanikiwa kufika mbali kielimu maishani
Na ndio Wana jfDivision 4 ni 0 pia
Hao ndo madada poa
Ndo wadangaji
Ndo machinga
Ndo boda boda
Ndo wapiga debe
Ndo wafanya biashara
Kupata zero maana yake yeye ameshindwa kukariri vitu ya darasani na sio kuelewa, kwa sababu bata hao wa Div 1 ukimuweka leo mtaani hawezi ishi kabisaDivisheni ziro ni nickname tu na tafsiri yake halisia ni "Failed" (FLD)... yaani umepoteza muda tu na wewe hauna tofauti na Darasa la saba ila ni darasa la saba uliyechangamka.
Wabongo tukatunga na kuongezea kwa kuipa jina la "Division zero!" Sijui kwa maana gani... na hii divisheni ziro iko TANZANIA tu! Acheni story za vijiweni ni nchi gani ingine ina divisheni ziro?!
Na ni Rais gani huyo alipata divisheni ziro nchini?!... Unajua hayo ni matusi, kebehi na dharau kubwa sana kwa kiongozi mkubwa wa nchi na wanaoongozwa wote na wewe ukiwemo... unajua hilo?!
Mnapandikizwa chuki tu mnaingia LINE kiurahisi... urais ni taasis kubwa ndugu yangu acha kabisa!
Anazungumzia Scholarship...! Kwahiyo una Verification badge ila mambo kama haya huyajui na huyaelewi pia?! ππ€π€π€Kwa hio nje wanapokea Div 1
Ukiwemo πππΎNa ndio Wana jf
Kwa hio wa Div 1 watakuja kuajiriwa na nani? Serikali? Huwa hatutakua kuukubali ukweli kwamba kwa sasa nyakati zimechange sana, mtaani kuna Graduate wasio kuwa na idadi, hizi mentality za kukariri kwamba ufaulu mzuri ni tiketi ya maisha mazuri ni za kizamani sana, Time will tellTeh teh teh, theoretically inawezekana.