Kumbe wenye zero ndio wanaajirigi wenye one, basi sawa.
Wanaenda kudanga (wanawake) na kuwa mautingo (wanaume)Yaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aiseeView attachment 2499069View attachment 2499070
Duh, haya...Huyo anakuchezea akili ni baba wa familia yupo tra singida kaajiriwa
Shostito😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uko bitter sana na mie, vipii kwani nimekugusaa? Si unge comment kwa kutulia mbna km unanichambaaa?? Wee shost nijie taratibuu. Lol
sio wapate zero wote lazima dunia iwe na makundi mawili ya wajiri na wajiriwa, hawa wenye one wengi wao watajiriwa na hao wenye zero wengi tu watajiali na kuajili wengineKwa mtazamo wàko , vijana wote Sasa wapate four na ziro Ili wawe wafanyq iashara wakubwa
Wajinga ni wengi... si unajua Afrika ndo nyumba ya Chuki, fitna, ushirikina na Majungu. Hapo majority ya waliopo humu walifeli ndo mana wanawaponda hao waliofanya vizuri.Hao division one wanaishi wapi. Tuwape watu sifa wanapo stahili na sio kukosoa tu. Mtu kapata one ya Saba lakini unataka aonekane hana uwezo wa kuishi mtaani, kisa kapata one.
Yaan huku tunapoelekea huku mh! Ni hatari! Leo hii mpaka mtoto mdogo anaonewa wivu kwa kufanya juhudi dhidi ya elimu yake. Waafrika ni watu wa hovyo sana!Kupata division one ni kosa?. Yani tunafanya mtoto aliyepata division one hana maana, ila mwenye zero ndio ana akili. Mtoto aliyepata one amefanya kwa nafasi yake na anasatahili pongezi , mambo ya kuajiriwa na kuajiri yatategemea baadae.
Fontana. Mimi dani kanifundisha 1997-8 pale kanisan la walokole enzi za LY [emoji23][emoji23]Mburahati imekubwa na nini Tena!?..na matokeo ya form four wamezingua Tena dah..nakumba enzi hzo ma twiti Kama yote pale kwa Dani ghorofani...mwamba alikuwa anashuka hesabu za quadratic kutoka kichwani hakuwa na kitabu siku zote...
ExactlyWajinga ni wengi... si unajua Afrika ndo nyumba ya Chuki, fitna, ushirikina na Majungu. Hapo majority ya waliopo humu walifeli ndo mana wanawaponda hao waliofanya vizuri.
Majitu majinga yana shida sana!
Serikali iwapeleke veta kwa gharama zakeYaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aiseeView attachment 2499069View attachment 2499070
Mkuu hawa watu hawajitambui Mimi nawaona watoto wadogo wanavyojikuta wajanja kumbe Uchizi.Serikali iwapeleke veta kwa gharama zake
Hakika🤣🤣🤣🤣Walaio pata Div 1 wanaenda wapi baadae? Hawa wa Zero wakikomaaa watakuja kuajiri wenzao wa Div 1
Bora umeongea realityHuku mtaani mtu ambaye Anaishi vizuri hapa nazumgumzia Maisha ya Focus na sio kuishi kwa kutegemea uchawi nk ni wale wenye Elimu hakuna darasa la saba aliyetoboa au division zero no na nasema no
Hata diamond kafika hapo kwa msaada wa wasomi sasa wewe mtoto wa masikini huna connection huna mtaji huna Elimu hujitambui. Then unaendekeza umalaya na Ulevi huku unapata zero then unasema utatoboa mtaani hiyo sio Kweli Ni kujipa moyo tu .
Hiki ni kizazi Cha . comMburahati imekubwa na nini Tena!?..na matokeo ya form four wamezingua Tena dah..nakumba enzi hzo ma twiti Kama yote pale kwa Dani ghorofani...mwamba alikuwa anashuka hesabu za quadratic kutoka kichwani hakuwa na kitabu siku zote...