Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Ila awe bodaboda mwenye nidhamu. By-the way BodaBoda inalipa ukijitambua na kutuliza akili... hasa chombo kikiwa ni chako mwenyeweHizo kazi za kufanya nao hao ambao hawajasoma labda Ni bodaboda(sijadharau maana najua Kuna Bodaboda wenye mpk masters), ukiwa na biashara kumfanya messenger etc.In short kazi za dizaini hio
Achana na hao watoto wananuka maziwaMkuu mbona unawananga sanaa waliopata 0 ...au hujafanya utafiti kwamba matajiri wengi karbu asilimia 75% Sio wasomi
Hao ndio mama lishe, vibaka, changu doa, waosha magari, kuzibua mitaro, kufagia barabara, bodaboda nkWatakuwa wakulima hao heka 10 kwa kila mmoja , elimu iwe mwanga sasa hapa ni Giza totolo.
Tuletee tajiri asiye msomi tukufungulie Bibliography yake. Wakinga tu na waha ndo matajiri wasio wasomi kwa sababu ya kutajirika kwa ndumba na madawa kama kina Sandaland wa Kariakoo. Matajiri wasio na akili wala nidhamuMkuu mbona unawananga sanaa waliopata 0 ...au hujafanya utafiti kwamba matajiri wengi karbu asilimia 75% Sio wasomi
Hata aliyepata 4 ana utofauti gani na 0? Aaaaah
Tuletee tajiti asiye msomi tukufungulie Bibliography yake. Wakinga tu na waha ndo matajiti sio wasomi kwa sababu ya kutajirika kwa ndumba na madawa kama kina Sandaland wa Kariakoo. Matajiri wasio na akili wala nidhamu
Leta hao wasio na elimu
Tema mate chiniHata Rais wa Nchi moja Africa mashariki alipata zero,wenye koneksheni watajiendeleza kwa kozi za kuungaunga alafu waanze kuupiga mwingi kama mama Samia.
Unamjua LIPUMBA vizuri apart from Politics za CUF na CCM...?!Na wasomi wenyewe uko sua na udsm wanafundishwa na kina lipumba[emoji38]
Ukweli kabisa! 👍🏾Wana options nyingi tuu mbele yao, kufeli form 4 sio mwisho wa maisha, wanaweza kufanikiwa kuliko hata waliopata one leo, wafanye maamuzi mazuri tuu kwenda mbele na wasikate tamaa
Division 4 ni 0 pia
Hao ndo madada poa
Ndo wadangaji
Ndo machinga
Ndo boda boda
Ndo wapiga debe
Ndo wafanya biashara
Rasi Simba hajakufunza vizuri dogo, bibliofraphy ndo NiniYaan bibliofraphy ya Mzee Lipumba unaijua vyema Kaka?! Je! Hata umewahi kukutana nae mkafanya mazungumzo angalau kwa dakika 30-45?!.. Muombe sana Mungu uipate bahati hiyo...
Kufeli siyo kipimo cha kuwa tajiri na kufaulu mitihani ya darasani pia siyo kipimo cha utajiri. Kwa pamoja tukiri tu mfumo wetu wa elimu una matatizo makubwa. Kuanzia lugha ya kufundishia na kujifunzia, mazingira duni ya kusomea na kujifunzia n.kMkuu mbona unawananga sanaa waliopata 0 ...au hujafanya utafiti kwamba matajiri wengi karbu asilimia 75% Sio wasomi
Tutututut nimeshatema.Tema mate chini
Hawa ni Unstoppable! Choosen from god! A perfectly meaning of "Kama ipo ipo tu!" "Mungu akipanga katu mwana-Adam hawezi pangua"Yeah mkuu Kuna watu wanao uwezo wanao mazingira sometime yanawafifisha
Japo Kuna wengine wanaweza tusua hata kama mazingira sio rafiki.
Kuna kitu nitakuelezea PM mkuuTutututut nimeshatema.
House helps,wapika chips na saidia fundiYaan zero zaidi ya 100 yaan miaka 4 yote kapa aiseeView attachment 2499069View attachment 2499070
Hata shule za Dar?Wengi tumepata zero na div 4 kwasababu nyingi mfano
1.umaskini plus na stress za familia
2. Kutoka form one hadi form four shule nzima ina walimu wawili,mwalimu mkuu na msaidizi wake plus miundombinu ya kujifunzia mibovu sana.
3.shule zipo mbali na makazi ya wanafunzi.
4.sera na usimamizi mbovu za elimu kiujumla wale wa 2012 wanajua.
Fafanua kidogo ulaya wanasoma masomo Gani 2Masomo mengi sana inabidi toka darasa lq kwanza mpaka form six masomo yawe mawili tu kama ulaya