Wanafunzi bwana!!

bampami

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
5,697
4,107
Ticha wa std 1 kajamba
class wanafunzi wakaanza
kucheka ticha kuua soo
kaondoka na kuahirisha
kipindi..!
Kipindi kilichofuta kesho yake..! TICHA : tuliishia wapi
kipindi kilichopita? Mwanafunzi mmoja
akanyoosha mkono..! MWANAFUNZI: pale
ulipojamba mwalimu!
 
Ticha wa std 1 kajamba
class wanafunzi wakaanza
kucheka ticha kuua soo
kaondoka na kuahirisha
kipindi..!
Kipindi kilichofuta kesho yake..! TICHA : tuliishia wapi
kipindi kilichopita? Mwanafunzi mmoja
akanyoosha mkono..! MWANAFUNZI: pale
ulipojamba mwalimu!
hah hah hah, ni noma, siye kuna siku class tulikuwa tumetulia kila mtu anajisomea sasa kuna tozi mmoja alikuwa amelala wakati yuko usingizini akaachia mambo yan bonge la bomu bwana class nzima ikaanza kucheka jamaa kushtuka kakuta watu hawana mbavu wanamcheka akabidi awaulize masela'' oya mnacheka nin? masela ndo wakazidi kucheka . baadaye wakamwambia kuwa umeachia jamaa alikataa katakata vicheko ndo vikazidi class mpaka tukapewa adhabu.
 
Basi mbali na kuj*mba,
kuna ile tabia ya kucheka mtu anapobanja aka (mtu anapokohoa afu ghafla anatoa mak**hozi).
Basi siku moja tupo lecture UDSM-THEARTER ONE pale,katikati ya kipindi kipindi kimekolea kweli kweli. Prof Suleiman anamwaga mambo, watu kimya tumeconcetrate GHAFLA Jamaa "AKABANJA" aka AKAKOHOA MAKOHOZI. Wacha Prof aanzishe kucheka Bwana darasa zima likawa lìnacheka take almost 10min watu wanacheka.
 
Back
Top Bottom