Wanafunzi bwana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanafunzi bwana!!

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by bampami, Dec 30, 2011.

 1. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,568
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  Ticha wa std 1 kajamba
  class wanafunzi wakaanza
  kucheka ticha kuua soo
  kaondoka na kuahirisha
  kipindi..!
  Kipindi kilichofuta kesho yake..! TICHA : tuliishia wapi
  kipindi kilichopita? Mwanafunzi mmoja
  akanyoosha mkono..! MWANAFUNZI: pale
  ulipojamba mwalimu!
   
 2. erco6

  erco6 Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 28, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  aibu bana
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,642
  Likes Received: 567
  Trophy Points: 280
  aaaah kama mi naomba uhamisho
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Dec 30, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,764
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Looh,unaweza kukimbia darasa!
   
 5. sister

  sister JF-Expert Member

  #5
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 8,711
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  hah hah hah, ni noma, siye kuna siku class tulikuwa tumetulia kila mtu anajisomea sasa kuna tozi mmoja alikuwa amelala wakati yuko usingizini akaachia mambo yan bonge la bomu bwana class nzima ikaanza kucheka jamaa kushtuka kakuta watu hawana mbavu wanamcheka akabidi awaulize masela'' oya mnacheka nin? masela ndo wakazidi kucheka . baadaye wakamwambia kuwa umeachia jamaa alikataa katakata vicheko ndo vikazidi class mpaka tukapewa adhabu.
   
 6. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #6
  Dec 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,568
  Likes Received: 923
  Trophy Points: 280
  Basi mbali na kuj*mba,
  kuna ile tabia ya kucheka mtu anapobanja aka (mtu anapokohoa afu ghafla anatoa mak**hozi).
  Basi siku moja tupo lecture UDSM-THEARTER ONE pale,katikati ya kipindi kipindi kimekolea kweli kweli. Prof Suleiman anamwaga mambo, watu kimya tumeconcetrate GHAFLA Jamaa "AKABANJA" aka AKAKOHOA MAKOHOZI. Wacha Prof aanzishe kucheka Bwana darasa zima likawa l├Čnacheka take almost 10min watu wanacheka.
   
Loading...