Bhampupile
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 810
- 636
Ni kama Ilivyo kwa Marian Girls ama St. Francis, wao huchukua wanafunzi 92 tu kwa mwaka kwa darasa moja, lenye mikondo miwili ya wanafunzi 46 kila mkondo. Hawana njaa. Sasa imagine, watoto karibia 4000 hufanyiwa usaili, na huchukuliwa wenye high performance 92, unadhani kuna kupata 0 hapo? St. Matthew ya mtoa mada naijua sana, mtoto wa kaka yangu niliemlea mwenyewe kamaliza pale 2014 A level, ni kweli wanafunzi ni wengia sana. Nyingi ya shule hizi za private huangalia quantity na si quality ya products zao.feza boys ndio kiboko yao sababu wazungu wanafata utaratibu.. shule za waswahili njaa kali
Mikutano ya wazazi tulikuwa tunahudhuria na hata ripoti za watoto wanapofunga shule tulikuwa tunafuatilia vzr, lakini si rahisi hivyo kujua weekness za mototo kwa kipindi kifupi cha likizo, na hata ukienda siku za kawaida kutaka kupata maelezo mafupi juu ya maendeleo ya motto wako watakupa lakini kumbe hayana uhakika wa ndani,maana wanafunzi 875 hata mwalimu wa somo atafuatiliaje maendeleo ya kila mwanafunzi kwa idadi hiyo ya watoto ktk darasa moja.Miaka minne unalipa tu gharama za kumsomesha mwanao bila kufika mazingira ya shule mkuu? Mikutano ya wazazi ulikuwa unaenda?
Sijakuelewa vzr mkuu, kwamba niwasiliane nao juu ya nini wakati tayari matokeo yalisha toka na watoto wetu walichopata ndicho hicho, zaidi nilikuwa nataka kuwakumbusha wazazi wenzangu umuhimu wa kuzichunguza hizi shule kabla ya kupeleka watoto wetu huko, tusifuate matangazo yao ya kwenye Radio Tumaini, Quality ya elimu inayo tolewa si sawa na ile inayotangazwa ktk Radio Tumaini. Hata ungekuwa wew mwalimu wanafunzi 875 unafuatiliaje maendeleo yao kwa idadi hiyo kwa kila mwanafunzi?Umewasiliana nao wahusika na kuwajulisha kero hii? Naamini unaumia kama mzazi, lkn ni bira ungeanza nao wao kwanza
Itakuwa ni shule hii hii, kuna kipindi tulikuwa kwenye mkutano wa wazazi kuna baadhi ya waalimu walikuwa wanalalamika sn juu ya mfumo wao wa malipo ya mishahara na makato yao ya mifuko ya hifadhi ya jamii, ilikuwa kila mwalimu unaekutana naye private kutaka kujua maendeleo ya mwanao hakosi kulalamika juu ya utawala wa shule hii.Ililetwa thread hapa kuwa walimu wa hii shule wanapokelea mshahara dirishani. Au siyo hii?
darasa moja wanafunzi 51 mbona poa tu
Ililetwa thread hapa kuwa walimu wa hii shule wanapokelea mshahara dirishani. Au siyo hii?
Itakuwa ni shule hii hii, kuna kipindi tulikuwa kwenye mkutano wa wazazi kuna baadhi ya waalimu walikuwa wanalalamika sn juu ya mfumo wao wa malipo ya mishahara na makato yao ya mifuko ya hifadhi ya jamii, ilikuwa kila mwalimu unaekutana naye private kutaka kujua maendeleo ya mwanao hakosi kulalamika juu ya utawala wa shule hii.
Ni vigumu kuamini lakini ukweli uko hivyo, mmiliki wa shule hii kakunja noti kwa wanafunzi 875 kwa form 4 tu kwa 2015, wakati shule zingine idadi hii ya watoto 875 ni idadi ya shule nzima kuanzia form 1 hadi form 6.Najaribu kuwaza sipata majibu kabisa!!! That means hilo darasa la form 4 lilikuwa na waalimu 5 wa hesabu, 5 wa Englishi na watatu katika kila somo lililobaki. Maana yake darasa moja lilikuwa na jumla ya waalimu 30 kwa uchache!!
Duc In Altum.
Na Feza girls na Shamsiya zote za wazungu.Darasa wanafunzi 48 ,24 each class. Chakula na mazingira ni zaidi ya unavyofikiria.feza boys ndio kiboko yao sababu wazungu wanafata utaratibu.. shule za waswahili njaa kali