Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje wilayani Chunya na Mbeya mjini, huku wengine nane wamejeruhiwa, chanzo cha ajali hiyo kikitanjwa kuwa ni uzembe wa dereva
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Bw.Mbarack Batenga baada ya kutokea ajali hiyo ametoa maagizo kwa wakuu wa shule na Mkurugenzi na kuahidi atakae kaidi agizo hilo kushughulikiwa
Chanzo: ITV DIGITAL
Mkuu wa Wilaya ya Chunya Bw.Mbarack Batenga baada ya kutokea ajali hiyo ametoa maagizo kwa wakuu wa shule na Mkurugenzi na kuahidi atakae kaidi agizo hilo kushughulikiwa
Chanzo: ITV DIGITAL