TUNTEMEKE
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 4,587
- 579
Wanafunzi 27 wamefukuzwa chuo kikuu dodoma ndani ya siku 2,hii ni kutokana na wanafunz hao kudai special fucult requirement,tena wamefukuzwa under police escot km mbwa.Nionacho mimi chuo kikuu dodoma kinaenda kubaya sana na mpango wa serikal ni kuwafukuza wanafunz weng na ikiwezekana hata kufunga college zote eti kisa wanafunz weng wanaunga mkono chadema na kwa nin wanagoma?kwel 2tafika?