Wanafikra pevu naombeni ushauri.

Jilanga

JF-Expert Member
Feb 13, 2011
255
40
Natanguliza Heshima mbele! Natanguliza shukruni za dhati kwa Wanajanvi ambao wako makini katika kuchangia hoja! Mawazo yenu yamekuwa muhimu sana katika kujifunza kwangu-
Leo naomba kuwashirikisha habari njema niliyoipata ili muweze kumisaidia!
Jana nimepata E-mail toka kwa Mkurugenzi wa 2seeds network, Mr. Amy. 2seeds network wako Marekani laki wamekuwa wakifanya Project & Placement Tz kwa wanafunzi wa Undergraduates na Postgraduates. Ambayo circle ya mwaka huu itaanza August 5 2013! Hivyo niliwaomba financial support kama $ 40,000 ambayo ni sawa na Tzs 72,500,000 kwa ajili ya Kuanzisha mradi wa green & modern Agriculture development in rural areas! wakataka niwape mchanganuo wa Mradi wakinitaka nionyeshe Environment and Social Impact Assessment (ESIA), Cost Benefit Analysis (CBA), Niandike in form of Business Plan! Hivyo wemenitaka niwatumie Business Plan or Project proposal mapema iwezekanavyo ili ifikapo May 5 2013 Mradi uwe umeshaanza na utakuwa miongoni mwa Placement kwa wanafunzi wao! Hivyo naomba mwenye Uzoefu wa kudraft Business Plan/Project Proposal nielekeze japo hints! Kikubwa na Cash flow analysis!
Natanguliza shukrani!
 
sasa kama umeweza kupenya hadi ukapata huo mchongo umeshindwa nini kuingia google kupata hizo dondoo?
 
nimejarib ila shida ni kuandaa Cash flow coz siko aware na price za Item mbali mbali!
mojawapo ya sifa kuu za business plan ni wewe kuijua kama sala. sasa inabidi utafute bei ya hivyo vitu na si kuambiwa. pita madukani na kuuliza watu. na hata kama utampa mtu jukumu la kukuandalia, inabidi ujue anaandaa nini maana atakayekuandalia siye atakayeenda kuitetea.
 
Nashukuru sana Raia, Watu kama wewe mna umhimu mkubwa sana katika jamii!
mojawapo ya sifa kuu za business plan ni wewe kuijua kama sala. sasa inabidi utafute bei ya hivyo vitu na si kuambiwa. pita madukani na kuuliza watu. na hata kama utampa mtu jukumu la kukuandalia, inabidi ujue anaandaa nini maana atakayekuandalia siye atakayeenda kuitetea.
 
Back
Top Bottom