Wanadiplomasia na wataalamu naomba mnisaidie gharama za daraja kama hili tafadhali

Kwanza mchakato wa kumpata mkandarasi sheria zilifuatwa?
Mchakato peke yake uligharimu si chini ya milioni 10,feasibility study milioni nane,kumi na nane hiyo! Material ni kama milioni moja hivi,kumi na tisa hiyo!! Mobilization milioni mbili,si ishirini na moko hiyo? Haya,mkandarasi kalipwa milioni tatu,24 tayari, gharama za uzinduzi ni milioni saba bila kupungua,si 31 hiyo? Sasa hawa kunguru wanalalamika nini?
Hapo ni waziri wetu mkuu wa miuno mbinu akitoa ufafanuzi uchwara huku akirusha mate mita mia!!
 
Back
Top Bottom