Wanachuo wa sauti univesty.

Wanachuo wa sauti univesty.

samahan sirudii tena..bt jee the whole lines ni non sense?

sio yote ila ulivyoanza hata mtu angekata tamaa ya kusoma the rest ya comment.
Mwenye busara ni yule afanyae kosa na akagundua kua maefanya kosa akajirekebisha.
Mpumbavu ni yule afanyae kosa na akagundua kua amefanya kosa na bado akaendelea kulingangania.
 
Kweli Senator ni mtata. Yaani hata huku kwenye Udaku unaendeleza misuli na libeneke ya kutokijua SAUT?
mkuu,ndio maana hili likaitwa jukwaa la jokes na udaku so chukulia poa 2.
 
ebu usituharibie jina la chuo wewe , na kwa raha zetu, tutawavala vimini na kukaa vby mpk waturudishie suruali ze2
 
Management inatakiwa ivumilie tu coz hao ni watu wazima sio watoto wa primary, by the way suruale ni vazi la heshima kuliko vimini. wawakataze mameni pia kuvaa jeans.
 
Haa wee Rose kumbe kwenu ni Caigo kwa akina mzee Kabwelane!!!!!!!!!!! mamaaaaaaa. Mimi nikuwa huko enzi za Father Sales Mapunda.
 
Kama ni SAUT huwa wakati mwengine uongozi unaibua visheria vya ajabu ajabu. Nakumbuka enzi zetu kaptula au pensi kwa wavulana ama wanaume ziliwahi kupigwa marufuku kwenye lekcha!
mkuu vipi? bado unafundisha pale pugu?
 
ebu usituharibie jina la chuo wewe , na kwa raha zetu, tutawavala vimini na kukaa vby mpk waturudishie suruali ze2
pole mrembo, usijali mawivu yao tu ndio yana wasumbua
 
Back
Top Bottom