Hawa wanachuo wamezuiliwa kuvaa suruali kutokana na na sababu wanazozijua wao uongozi,ila majuzi nimetembelea pale yaani nguo (vimini) zinazovaliwa,mi naona bora suruali.
hicho chuo cha "sauti univesty kilo" nchi gani mkuu
aisee mama ni noma naona full kicheni pati asanteee..haaaaaa waache bwana ata wakiamua kuvaa chup na tai tu na kuingia lekcha fresh ili mrad wwaeleweUUNGWANA/KUJIHESHIMU NA KUJITAMBUA THAMAN NA UTU mtu afundishwi....vnakuja automaticallykuna dhana nyng znazofanya wasichana kuvaa vimbano iwe suruali au sket ..zikiwemo1.ushamba/ulimbuken..mtu katoka shamba uko shiri matunda sjui wap kigonsera alikuwa anavaa sket ndefuu km sista perprtua kaja twn nae anataka aonekane wa mjin matokeo yake anapitiliza2utandawaz..mtu anataka atoke na kigaun/kisket kama alichotoka nacho riahana jana3.ujinga..mtu kudhan akivaa suruali/kimin ndo ataonekana wa mjin saaaaaaana,mjanja sana4.kukosa maadili...wanapoteza mda kwa kuweka sheria i cz mtu afundishiw kujieshimu..thou i lyk that principle i wsh wangefanikiwa kufanya watu wajieshimu.
hahaaaa...!!hicho chuo cha "sauti univesty kilo" nchi gani mkuu
hicho chuo cha "sauti univesty kilo" nchi gani mkuu
haaaaaa waache bwana ata wakiamua kuvaa chup na tai tu na kuingia lekcha fresh ili mrad wwaelewe
UUNGWANA/KUJIHESHIMU NA KUJITAMBUA THAMAN NA UTU mtu afundishwi....vnakuja automatically
kuna dhana nyng znazofanya wasichana kuvaa vimbano iwe suruali au sket ..zikiwemo
1.ushamba/ulimbuken..mtu katoka shamba uko shiri matunda sjui wap kigonsera alikuwa anavaa sket ndefuu km sista perprtua kaja twn nae anataka aonekane wa mjin matokeo yake anapitiliza
2utandawaz..mtu anataka atoke na kigaun/kisket kama alichotoka nacho riahana jana
3.ujinga..mtu kudhan akivaa suruali/kimin ndo ataonekana wa mjin saaaaaaana,mjanja sana
4.kukosa maadili...
wanapoteza mda kwa kuweka sheria i cz mtu afundishiw kujieshimu..thou i lyk that principle i wsh wangefanikiwa kufanya watu wajieshimu.
leo umeongea non sense.
aisee mama ni noma naona full kicheni pati asanteee..

saint augustine university of Tanzania(SAUT)- MWANZASaut kiko kona gani za hii nchi takatifu?
Saut kiko kona gani za hii nchi takatifu?