Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Wanachuo wa kike .... Je hii ni kweli?

Wala si mchokozi Huo ndio ukweli haswaa, mwanamke unapokua na mahusiano na mwanaume hasa relationship inayo focus mbali unajikuta unajitwika mizigo mingi sana, unachukua nafasi ya mama yake, rafiki zake,ndugu zake,na zaidi unakua mpenzi wake! Hiyo kumpikia ni jukumu la mama yake lakini madhari umejitwika wewe basi unalibeba tu,utampikia utamfulia utamfanyia kila aina ya madoido ili akuamini kwamba you can handle him with all duties you have! Sema nini haya mambo muyafanye kimapenzi zaidi na si kukomoana au uyafanye kwa sifa, mwanaume anayekupenda pamoja na kujitolea koote huko hatokubali ufeli,atakuhimiza mambo mengi tu na kujaribu kukuonyesha maisha nje ya yeye, nashukuru nilimaliza chuo japo si kwa first class
Wasichana/Wanawake wote wangekuwa hivyo .... truly this world would have been a paradise
 
kuna siku mpenzi wangu alilewa chuo nikaja nikaitwa na mamate wake kudeki matapishi sipendi hata kukumbuka yaani
Did u do it expressing your TRUE LOVE ama kale kausemi kasemako LOVE IS BLIND
 
Kupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza, lazima tuwepo watu wa aina hii ili kuleta utofauti, niliolewa huku mwenzangu anajua radha ya chakula cha mkono wangu
"Kupanga ni kuchagua, kuamua ni kutekeleza ...." hayo maneno hayo nmeyapendaje ... hadi ukaolewa .... CONGRATS
 
sikulaumu kila mtu amefanya makosa mengi .me too! ila sikupika chuo ila kitaa nilishawai kumpikia mtu sana tu hadi nikaungua
Ulipika had ukaungua OMG .... at last jamaa alijitwalia "jiko" kama kule kwa LadyAJ? .... ama alisepa
 
Huo umbea maana Ushahidi huna
Yaonekana hujitambui ww .... ungekuwa wajitambua ungeelewa kuwa thread hii si wazo langu lililotokana na utafiti nilofanya ... bali ni taarifa ya CHOMBO CHA HABARI ... ama kusoma hujui (maana bandiko lajieleza) au warukia jambo katikati badala ya kuanza nalo ....
 
Kumbe havisomi hivi vibinti!! Ukikioa ktk noney moon kinakuuliza tayari ushaingiai!!!!

Mi sioi mwanachuo hata siku moja, wamechoshwa kuliko hata mabibi wa vijijini.😡
 
Kumbe havisomi hivi vibinti!! Ukikioa ktk noney moon kinakuuliza tayari ushaingiai!!!!

Mi sioi mwanachuo hata siku moja, wamechoshwa kuliko hata mabibi wa vijijini.😡
 
Wasichana ndo wanaongoza kwa kufaulu vyouni pia weka mbali unachofikiria hasa kwa koz zisizohitaji mchezo mchezo like law.
 
Mbona kawaida iyo ata apa naingia class nimemwacha mchumba anafanya usafi nikitoka naenda kumpigisha msuli tabu iko wap
Unamlisha matango poli ikifika UE jasho la matako linamtoka sababu hakuhudhuria lectures!
 
Yaani unamaana kwamba baada ya kutumika au kutumiwa sana na kufikia Level ya kuitwa MTUMBA bado unatarajia siku za usoni kupata Decent Husband au Wife??? Nawaza tu kwa SAUTI. Nitarudi baadaye kuchungulia.
Ukijifunza kwamba si kila mahusiano huzaa ndoa hiyo haitakupa shida to let him/Her Go...
 
Chuo kuhudhuria lecture sio guarantee ya kufaulu, zinduka wewe

Wadanganye tu .... Kuna kozi kama huhudhurii lecture huna chako...nitajie labda kozi unafaulu bila kwenda lecture
 
Back
Top Bottom